Blogu hii makini iko kwa ajili ya kuhabarisha masuala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Karibuni sana.
Alhamisi, 17 Desemba 2015
TALGWU YAITAKA SERIKALI KULIPA SHILINGI BILIONI 24 KWA WATUMISHI
Timothy Marko.
SHIRIKISHO la wafanyakazi wa serikali waserikali za mitaa wasio walimu nchini, limeitaka serikali kutekeleza madai yao yashilingi bilioni24 yaliyolimbikizwa kwakipindi cha mwezi April mwaka 2011.
Akizungumza katika mkutano waandishi wahabari uliofanyika katika makao makuu ya shirikisho hilo mapema hii leo jijini Dar es salaam Katibu mkuu wa shirikisho hilo Kibwana njaa amesema kuwa serikali ya awamu yanne ilihaidikuwa itatekeleza ulipwaji wa madai ya hayo kwakiasi cha shilingi bilioni 18 lakini madai mapya hayakujumuishwa katika ulipwaji wa madeni hayo yanayoanzia mwezi mei2012 hayakuweza kutekelezwa .
‘’Chama kimefanya jitihada kubwa yakuonana mara kadhaa na viongozi mbalimbali waserikali ikiwemo makatibu wakuu wa utumishi ,Tamisemi,Hazina na mawaziri wawizara hizo lakini ahadi hizo hazikutekelezwa na serikali’’Alisema KIBWANA NJAA.
Katibu MKUU KIBWANA alisema kuwa kwakipindi hicho shirikisho hilo limekuwa likivuta subira ilikuweza kuipa muda serikali katika kutekeleza madai hayo lakini hatahivyo serikali imekuwa kimya ,na mara kadhaa waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda alikuwa akiwaomba viongozi hao kuvuta subira kusiana na madai yao.
Alisema kuwa chama hicho hakijavunjika moyo juu ya ahadi ya serikali iliyotolewa 17january2013 Dodoma nawaziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda yakuwataka kusubiri maamuzi y a Baraza la mawaziri ambayo maamuzi hayo yangefanywa baada ya miezi mitatu .
‘’TALGWU haijaridhika nakasi ya serikali katika kulipa madeni kwasababu haijaona sababu za msingi kwanini hadi leo hakuna utekelezaji wa madai yetu hivyo tunaitaka serikali hadi Desemba 2015 iweimeshalipa ‘’Aliongeza Kibwana NJAA.
.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni