Timothy Marko.
SERIKALI imesemakuwa inaendelea katika kutatua migogoro ya ardhi nchini kwa kutumia njia za kisayansi ikiwemo kuwa shirikisha madawati mbalimbali yakushughulikia matatizo ya ardhi kwa kutumia njia zitakazo tumia mifumo yakietroniki .
Akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wananchi walikuwa namigogoro yaardhi katika wilaya mbalimbali zilizopo jijini Dar es salam Waziri wa nyumba ardhi na makaazi Wiliam lukuvi amsema kuwa katika kupambana natatizo hilo serikali imezindua utaratibu wa mfumo wa kietroniki ilkuweza kushughulikia madai namashauri yaardhi nchini.
''SERIKALI inajiimarisha kutatua migogoro ya ardhi kwa njia za kisayansi kwa kupima nakuanzisha progamu kwanjia kietroniki ikuweza kutoa mashauri yenu ili serikali iwezekufutilia mashauri hayo''Alisema Waziri William lukuvi .
Lukuvi alisema kuwa tayari serikali imeshapokea malamiko153katika wilaya kinondoni ambapo kati ya hayo mashauri 18 yanaendelea kufanyiwa utafiti wakina wakati jumla yamashauri matano yanayo husu ucheleweshwaji wa madai mbalimbali yahusuyo ardhi .
alisema katika mchanganuo mbalimbali wa kero za ardhi ,jumla kero 112 zimeweza kupokelewa mapema hii leo wakati jana jumla kero 153 zilitoka kinondoni ambapo alibainishakuwa matatizo mengi katika wilaya hiyo ni uvamizi wa viwanja ambapo jumla wakazi 28 walalamika waweze kusaidiwa matatizo ya ardhi .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni