Ijumaa, 25 Septemba 2015

KIWANGO CHA MAUZO YAHISA JIJINI CHAFIKIA BILIONI106.87

Timothy Marko.
KIWANGO cha mauzo ya hisa katika soko lahisa kimeongezeka kutoka bilioni 2 kwa wiki iliyopita hadi kufikia bilioni 106.87 ikiwa sawa na asilimia 44 wakati huo huo kiwango cha soko la mitaji kimeongezeka hadi kufikia bilioni 29.6
Akizungumza na waandishi wa habari Meneja biashara wa soko la hisa la Dar es salaam DSE Patrick Mususa amesema kuwa Ongezeko hilo limetokana na Serikali kuuza hisa zake za zamani nakushusha bei ya hisa zake tutoka 15200 hadi kufikia shilingi miatano .
''Makapuni yanayoongoza katika ununuzi wa hisa nipamoja na TBL,CRDB pamoja na benki ya kibiashara ya NMB Ongezeko hili limetokana na kuwepo kwa huduma yasimu inayo wasaidia kununua hisa kwa njia rahisi ''Alisema Mususa .
Mususa alisema kuwa kiwango chamatumizi yasimu katika ununuzi wahisa hizo kimepanda kutka watu 400 hadi kufikia watu 600 ambapo ongezeko hilo ni asilimia 97 .
alisema kuwa ikiwa serikali itajitokeza katika ununuzi wahisa zake katika soko ikwa nikashiria kizuri cha soko lamitaji kuongezeka ,aidha aliyataja makapuni yaliyonesha kiashiria chasoko ni[pamoja uchumi super makert pamoja na KBC.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni