Timothy Marko.JAMII imetakiwa Kutumia Misitu kwa uangalifu ilkuepukana na tatizo la mabadilko yatabia nchi inayotokana naukataji misitu hiyo kwa matumizi ya nishati mbadala ikiwemo Mkaa.
Wito huo umetolewa jana jijjini Dar es salam na Meneja wa Kampeni Mama misitu GWAMAKA MWAKALIGALA wakati akizindua kampeni yakuhamasisha upandaji misitu endelevu iliyoratidiwa na taasisi ya uhifadhi wa wamisitu nchini,ambapo amsema kuwa ifike mahali jamii kutambua umuhimu wamisitu nakuweza kuchagua viongozi watakao linda rasmali hiyo muhimu kwa vizazi vijavyo.
''Lazima jamii iweze kuwachagua Viongozi wakisiasa Watakao kuja naajenda muhimu ya Uhifadhi misitu kwa mstakabali wa taifa kwa vizazi vijavyo ,sisi kama watanzania tunatakiwa kutunza misitu ililkuwa na matumizi endelevu ya Misitu''Alisema Mwakaligala .
Mwakaligala alisema kuwa lazima wadau mbalimbali kutumia misitu endelevu kama fursa yakiuchumi na badala yakuwa changamoto kwakuhamasisha upandaji wamisitu na matumizi sahihi ya mistu ilkuweza kukuza kipato na kukuza uchumi kinachotokana matumizi sahihi yamkaa .
Alisema kuwakwakutumia vyombo vyahabari jamii itaweza kufahamu matumizi sahihi ya misitu kwa vyombo hivyo ambavyo nimuhimili wanne katika serikali utawezesha wananchi kufahamu matumizi sahihi yamisitu nanihati endelevu .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni