Jumatatu, 17 Agosti 2015

KAMPUNI ZA TBL NA CRDB ZAONGEZA MANUNUZI KATIKA SOKO LA HISA LA DARES SALAAM.

Timothy Marko.KAMPUNI za TBL,CRDB na benki ya National microfinace BANK nchini zimekuwa zikiongoza kwa
ununuzi wa hisa jijini Dar es salaam katika sokola Hisa lililopo jijini humo(DSE) kwakuongeza idadi yamanunuzi kutoka shilingi bilioni 17 hadi kufikikia bilioni 28 kwakipindicha wiki moja.
Akizungumza na waandishi wa Habari mapema hii leo jijini Dar es salaam ,Meneja biashara wa soko la hisa jijini Dar es salaam (DSE) Patrick Mmsusa amesema kuwa kuongezeka kwakiwango hicho cha manunuzi yahisa hizo kunafuatiwa na kukuwa kiwango chauwekezaji wa nje baada ya thamani ya shilingi kuweza kupanda dhidi ya dola.
''Kukuwa kwakiwango hiki cha manunuzi yahisa yametokana nathamani ya shilingi kuongezeka ikilinganishwa nawali hivyo napenda kuwahimiza wawekezaji kuongeza idadi yamanunuzi yahisa ili kuweza kukuza kiwango cha hisa ''Alisema Patrick Mmsusa .
Mmsusa alisemakuwa wakati wamauzo yahisa ya kipanda kutoka biloni 17 hadi kufikia bilioni28 sekta yakibenki imeweza kupungua hadi kufikia asilimia 24 wakati sekta yaviwanda imezidi kupanda ikilinganishwa na awali .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni