Jumatatu, 16 Februari 2015

SITTA AMSIMAMISHA KAIMU MKURUGENZI TPA KWA UBADILIFU

WAZIRI SAMWELISITTA AKIZUNGUMZA NAWAANDISHI WA HABARI HAWAPO PICHANI MAPEMA HII LEO


Waziri Wa uchukuzi nchini ,Samweli Sitta  amesimamisha aliyekuwa kaimu Mkurugenzi wa  mamlaka ya bandari Mpinde  Madeni baada kuonekana  amefanya ubadilifu wazabuni zilizokuwa za mamlaka hiyo yabandari .
Akizungumza na wa waandishi wa habari Mapema hii leo jijini Dar es salaam ,waziri Samweli Sitta amesemakuwa kusimamishwa kwa mtumishi huyo wabandari  kumekuja baada yakubainikakuwa zaidi ya asilimia 43 zakodi za zabuni katika shilika hilo la Bandari kuweza kutolipiwa kodi hivyo kuiokosesha serikali mapato.
‘’Nimemsima misha kazi aliyekuwa kaimu mkurugenzi wa mamlaka ya bandari ndugu mpinde madeni kutokana kuonekana amafanya ubadilifu wa zabuni za shirika la bandari baada yakufanyauchunguzi wakina nimebaini asilimia 43 za zabuni zilizouzwa na shirika la bandari hazikuweza kulipiwa kodi ya mapato ‘’Alisema Waziri Samweli sitta .
Samweli sitta alisema kuwa kufuatia kufukuzwa kwakaimu mkurugenzi huyo ameivunja bodi ya shirika hilo nakuweza kuwa teua wajumbe wabodi amemteua mhandisi Samsoni mligo kuwa mkurugenzi ambapo kaimu wa shirika hilo ni Ramadhani mlinga .
Alisema kufuatia sakata hilo amaemteua katibu wawizara ya uchukuzi Dr Glascian kasinda kuweza kushika nafasi hiyo iliyoachwa wazi .
‘’Hatua hii niliyo ichukuwa imetokana nakuwepo kwa malalamiko katika bodi kuwa wakuwa sio wawazi katika kutangaza  nakuweka wazi wa zabuni zinazo tolewa na mamlaka ya bandari TPA ‘’Aliongeza Samweli Sitta.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni