WAZIRI SAMWELISITTA AKIZUNGUMZA NAWAANDISHI WA HABARI HAWAPO PICHANI MAPEMA HII LEO |
Waziri Wa uchukuzi nchini ,Samweli
Sitta amesimamisha aliyekuwa kaimu
Mkurugenzi wa mamlaka ya bandari
Mpinde Madeni baada kuonekana amefanya ubadilifu wazabuni zilizokuwa za
mamlaka hiyo yabandari .
Akizungumza na wa waandishi wa
habari Mapema hii leo jijini Dar es salaam ,waziri Samweli Sitta amesemakuwa
kusimamishwa kwa mtumishi huyo wabandari
kumekuja baada yakubainikakuwa zaidi ya asilimia 43 zakodi za zabuni
katika shilika hilo la Bandari kuweza kutolipiwa kodi hivyo kuiokosesha
serikali mapato.
‘’Nimemsima misha kazi aliyekuwa
kaimu mkurugenzi wa mamlaka ya bandari ndugu mpinde madeni kutokana kuonekana
amafanya ubadilifu wa zabuni za shirika la bandari baada yakufanyauchunguzi
wakina nimebaini asilimia 43 za zabuni zilizouzwa na shirika la bandari hazikuweza
kulipiwa kodi ya mapato ‘’Alisema Waziri Samweli sitta .
Samweli sitta alisema kuwa
kufuatia kufukuzwa kwakaimu mkurugenzi huyo ameivunja bodi ya shirika hilo
nakuweza kuwa teua wajumbe wabodi amemteua mhandisi Samsoni mligo kuwa
mkurugenzi ambapo kaimu wa shirika hilo ni Ramadhani mlinga .
Alisema kufuatia sakata hilo
amaemteua katibu wawizara ya uchukuzi Dr Glascian kasinda kuweza kushika nafasi
hiyo iliyoachwa wazi .
‘’Hatua hii niliyo ichukuwa
imetokana nakuwepo kwa malalamiko katika bodi kuwa wakuwa sio wawazi katika
kutangaza nakuweka wazi wa zabuni zinazo
tolewa na mamlaka ya bandari TPA ‘’Aliongeza Samweli Sitta.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni