Jumatatu, 17 Novemba 2014

WANANCHI WAASWAKUCHANGIA SEKTA YAELIMU KUKUZA MAENDELEO.

Timothy Marko
Katika kukuza sekta ya E      limu nchini wananchi wameaswa kuachana kuchangia fedhanyingi katika hafla mbalimbali na badala yake kuchangia fedha hizo katika kusaidia kukuza sekta yaelimu ambayo ni nyenzo muhimu katika uchumi wataifa .

Akizungumza mapema hii jijini Dar es salaamkatika hafla yakuwatunuku hati za wachangiaji wa mfuko wa elimu nchiniTEA  Naibu waziri wa elimu na mafunzo yaufundi Jenista Muhagama amesema kuwa jukumu lakuboresha elimu nchini si laserikali pekeyake bali nilakila mwananchi .

‘’jukumu la kukuza sekta yaelimu nilakila mwananchi nasio serikali pekeyake hivyo kila mwananchi ana wajibu wakukuza elimu ikiwemo kuchangia michango mbalimbali katika sekta yaelimu ilikuweza  kujikwamu akatika lindi laumasikini ‘’alisema Naibu waziri Jenista Muhagama .

Naibu waziri Jenista Muhagama alisema kuwa kumekuwa na baadhi ya wadau mbalimbali ambao huchangia fedha katika kufanya utafiti juu yamaswala ya kielimu nakusisitiza kuwa taasisi hizo zina paswa kuungwa mkono nasio kuziachiakazi pekeyake katika kuboresha sekta elimu hapa nchini .

Alisema Tanzania imekuwa mstariwambele katika kuwa na mifuko ambayo hutumika kuboresha elimu ambapo nchi ya Tanzania inajivuniakuwa ni nchi yatatu katika kuwa namalaka za elimu ikifuatiwa nanchi za Ghana na Nigeria
.
‘’Ilikuweza kuwa katika nchi zenye uchumi wakati nilazima tuhamasishe teknolojia kwa hiyo elimu ninguzo muhimu yakutu fikisha huko katika Nyanja za sayansi nateknolojia hivyo natoa wito kwa kila moja mahali alipo aweze kutengeneza mazingira bora katika elimu ‘’aliongeza naibu waziri wa elimu .
Katika hatua nyingine Mkurugenzi wa mamlaka yaelimu nchini Rose mary Lunabuka alisema kuwa kufuatia wadau mbalimbali kuweza kuchangia mfuko huo hadi hivi sasa jumla shilingi milioni 12 zimeweza kuchangwa na wadau mbalimbali .
Rose mary lunabuka alisema kuwa walioweza kuchangia katika mfuko huo wameweza kutoka katika taa sisi za kiserikali nazile za binafsi ambapo michango hiyo inalenga  kuboresha mabweni kwenye ngazi awali hadi chuo kikuu .      

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni