Timothy Marko
KATIKA
kuhakikisha sekta ya usafirishaji
inaimarika hapa nchini Shirika laleri limepokea mabehewa hamsini
yakubebea makasha ilikuwezesha sekta yaundoshaji makasha kwenda katika nchi za
jirani ikiwemo Burundi congo Burundi unaimarika .
Akizungumza
katika uzinduzi makasha hayo katika bandari ya Dar es salaam mapema hii leo ,Mkurugenzi
Mtendaji wa shirika la reli nchini Mhandis kipallo Aman kisamfu amesema kuwa
uzindunduzi wa mabehewa hayo unafuatiwa na ununuzi mabehewa mapya 274 ikiwa nalengo
yakupunguza msongamano wa makontena bandarini .
‘’Mradi huu
ulisainiwa mwezi April mwaka jana kati ya shirika la reli nchini pamoja na
kampuni ya Hindustan &industrial Engineering Limitedya india ambapo mradi
huu umegharimu jumla shilingi bilioni 45.5 sawa na wastani washilingi milioni
166 kwa kila behewa ‘’alisema Kipalo Kisamfu .
Kipalo
Kisamfu alisema kuwa uzinduzi wa mabehewa hayo kunatokana na adhima ya serikali
kuimarisha sekta ndogo ndogo ya reli inaimarika ambapo fedha za mabehewa hayo
imeshakulipwa naserikali .
Alisema kuwa
mabehewa yapatayo hamsini yakubebea mizigo yanatarajiwa kupokelewa bandarini
hapo desemba 10 mwaka huu ilkuendana nakasi ya mpango wa matokeo makubwa sasa
kama ulivyo ainishwa naserikali ya awamu ya nne kuboresha miundo mbinu hususan
reli .
‘’Mabehewa
takribani 50 ya kubeba mizigo yanatarajiwa kuwasili 25 january 2015 ikifuatiwa
mabehewa 74 ambapo yanatarajiwa kuwasili
mwezi febrary 2015 ‘’Aliongeza kipalo kimsafu .
Katibu mkuu
wa wizara yauchukuzi Shabani mwinjaka alisema kuwa ongezeko lamabehewa hayo
yataweza kurahisha watumiajiwa usafishajiwa makontena kwenda bandarini katika
kupunguza msongamano wa makontena .
Shabani
mwinjaka alisema kuwa mabehewa hayo yanafuatiwa namatokeo ya makubaliano kati
ya serikali ya india katika kuboresha sekta yareli ambapo zaidi mabehewa274
ikiwemo juhudi za serikali kuboresha sekta yareli nchini.’
‘’uzinduzi
wa mabehewa 274 yanatokana mradiwa matokeo makubwa katika sekta reli ambapo
serikali kwa kushirikiana na nchi yaindia imeweza kufanikisha mradi huu
‘’Alisema MWINJAKA .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni