Timothy Marko.
KATIKA kuadhimisha Siku ya umoja wamataifa jumuhia hiyo iliyenye tawilake hapa nchini imesema katika kipindi cha uanzishwaji wajumuhia hiyo ya kimataifa imeweza kuwa kuwaleta mataifa karibu zaidi ikiwa pamoja nakufikiwa kwa baadhi ya malengo yake yamilenia kwakipindi cha mwaka 200 hadi 2015 yameweza kufikiwa .
Akizungumza jijini nawaandishi wa habari mapema hii leo Muwakilishi wa umoja wa mataifa nchini Tanzania Alvaro Rodriguez amesema kuwa jumuhia imeweza kuhamasisha mkakati wakupunguza umasikini ujulikanao Kama ‘’The post 2015 Develompment agenda –leaving No Behind ukiwa nalengo la kupambana naumasikini kwanchi zote zajumuhia hiyo bila kuiacha nyuma nchi wanachama wa jumuhia hiyo katika mapambano ya kutokomeza umasikini .
‘’Lengo la kaulimbiu hii inalengo la kuihamasisha nchi ya Tanzania kupambana na umasikini ikiwemo kuisaidia nchi ya Tanzania kupambana naumasikini ambapo kuna baadhi ya maeneo malumu ikiwemo mabadiliko ya Tabia ya nchi ,nishati uhalibifu wa mazingira yatakiwa kutiliwa mkazo ilkuweza kufikia malengo ya millennia ‘’alisema Alvaro Rodriguez .
Alvaro Rodriguez alisemakuwa katika maadhimisho ya wiki ya umoja wamataifa inayotajiwa kuanza oktober 17 hadi 24 mwaka huu yamelenga kudumiasha ushirikiano waserikali ya Tanzania na umoja wamataifa katika kuyafikia malengo yamilenia ikiwemo kuwahamasisha watunga sera kutokuwa nyuma namipango yakimaendeleo .
Katika hatua nyingine katibu wa wizara ya mambo yanje Jonh Haule amesemaku wa katika madhimisho yaumojawamataifa Tanzania ina adhimisha miaka 69 katika jumuhia hiyo Tanzania inavunia kuwa katika jumuahiyo katika kuendeleza mapambano dhini ya umasikini magojwa naupatikanaji wa elimu .
Alisema madhimisho hayo yatafanyika sambamba nagwaride laheshima ikiwemo nabonanza pamoja ikiwemo matukio mbalimbali kutambua mchango wa vyombo vya habari katikakuimarisha jumuhia ya mataifa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni