Jumatano, 15 Oktoba 2014

JESHI LA POLISI NCHINI LAKANUSHA TAARIFA ZA KUTEKWA KWA WANAFUNZI.

Timothy Marko.
Kufuatia  Kuwepo kwa taarifa za utekanaji nyara    watoto kwa baadhi ya wahalifu kuwa teka watoto hao ambao  wanaosoma shule za msingi   kwa kutumia magari yanayojulikana kama Noah yaaina nyeusi,Jeshi lapolisi kanda maalum limekanusha madai hayo yaliyotolewa na wazazi ambao wanafunzi wake wanasoma katika shule hizo .

Akizungumza nawaandishi wa habari mapema hii leo jijini,Kamishina wa kanda maalum jijini Dar es salaam Suleimani KOVA amesemakuwa uvumi huo kuwa magari ya aina hiyo hutumika kuwateka wanafunzi ikiwemo na kuwa chuna ngozi wanafunzi hao na madhara mengine  madai hayo si yakweli bali ni uvumi tu nahayana ukweli wowote .

‘’Mpaka sasa Jeshi la polisi halina taarifa yoyote ya mtoto yeyote kutekwa au kufanyiwa madhara yoyote kwa mtindo wautekaji nyara ,pia jeshi hilo limegundua kwa mba ni uvumi lakini bado alijagundua chanzo chake hivyo wananchi hamna budi kuwapuuza wanaoeneza uvumi huo ambao unaleta hofu zisisizo za msingi’’Alisema kamishina Suleimani kova .

Kova alisema uvumi huo umeanza kuleta usumbufu ambapo 3october Mwaka huu majira yasaa tatu asubuhi mtumoja ajulikanaye PROSPER Makame (34)mfanya kazi wa kampuni ya the Guardian Limited mkazi wa tabata akiwa namkewe MARY STELLA MUNIS(30)ambaye nimfanyabishara wavyombo vyanyumbani walifika maeneo yashule yamsingi kombo iliyopo vingunguti kwajili yakuchukua pesa zavyombo wakiwa aina gari  aina yanoah yenye namba nyeusi yenye namba T252 DAY rangi nyeusi.
Alisema Ghafla watuwasiojulikana wapatao mia moja walivyamia gari hilo kwamadai kuwa ndio linalowateka wanafunzi hao ndipo mtoa taarifa alipoona hali ni tete aliamua kupiga simu polisi hatimaye watuhao walifiki shwa katika kituo cha buguruni wakiwasalama na gari lao.
‘’Jeshi  polisi kanda maalum  lina sisitiza kuwa kuwa uvumi huu kuwepo kwakikundi cha uhalifu cha kuwa teka wanafunzi washule za msingi si za kweli hata kidogo hivyo wananchi mnapaswa kuwa wavumilivu ‘’.Aliongeza kamanda kova .
Katika hatua nyingine jeshi hilo limethibitisha kutokea kwa vifovyawatu kumi nasita huko mbagala charambe kufuatia kulipuka tanki lakubebea mafuta yapetroli lenye namba za usajiliT347BXG maliMOIL TRANSPOTER  lilokuwa likielekea nchini Uganda .


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni