Timothy Marko
KATIKA kuhakikisha sekta ya uchukuzi inaimarika hapanchini Serikali ya Tanzania kupitia wizara ya uchukuzi imeingia makubaliano na wamiliki wamakapuni mbalimbali wakutoka nchini marekani ilikuweza kuboresha sektahiyo muhimu kwauchumi wa taifa ambapo zaidi ya shilingi dola milioni hamsini zinatarajiwa kukukamirisha miradi mbalimbali ya sekta uchukuzi.
Akizungumza katika mkutano huo nawadau mbalimbali wa sekta yamiundombinu kutoka nchini Marekani jijini Dar es salaam Katibu Wa wizara ya uchukuzi Shabani Mwinjaka, amesema kuwa miradi itakayo fadhiliwa na wadau hao wa sekta yamiundombinu ni pamoja umimarishaji wa bandari ya mtwara,bagamoyo pamoja nareli yakati .
‘’Kuna watu wakutoka nchini marekani ambao wamekuja kuwekeza kwenye reli yakati pamoja naujenzi wa bandari ya mtwara pamoja naile ya bagamoyo ‘’Alisema Shabanimwinjaka.
Mwinjaka alisema kuwa wawekezaji hao wakutoka nchini marekani wamependekeza kuanza kufanya ukarabati wa bandari ya mtwara pamoja nauendelezwaji wa viwanja vya ndege .
Alisema kuwa ujenzi huo waviwanja vyandege mjini humo unaobeba watu milionioni sita unaendasambamba naujenzi wa hoteli za kitalii za kisasa .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni