Timothy Marko
CHAMA cha
wafanyakazi wa usafirishaji kwanjia yabarabara nchini (TAROTWU)kimeiomba
serikali kupitia mamlaka ya usajirishaji
wamajini nanchi kavu (Sumatra)kuweza kuchunguza baadhi ya mikataba yaajira kwa madereva ilikuweza kupunguza tatizo la ajali
za barabarani.
Akizungumza
nawaandishi wa habari mapema hii leo
jijini Katibu wa chama hicho Salum Abdallah amesema kuwa kutokana kuwepo
kwaajali nyingi hapanchini chamaihicho kimeonelea kuwa Baadhi yamikataba
yaajira nilazima kuchunguzwa na wizara yakazi na ajira,Sumatra pamoja nachama
hicho .
‘’Tunaiomba
wizara yakazi najira iweze kusimamia na kudhibiti mikataba yakazi kwamadereva
kwakushirikiana na TAROTWU pamoja na SUMATRA napia tunapendekeza bima ya dereva
na kadi NSSFiwe nisehemu ya mkataba wajira napia pawe nauhakiki wa pamoja idara
ya kazi ,Sumatra ,tarotwu’’Alisema Salum Abdallah .
Salum
ABDALLAH alisemakuwa kupita wizarahiyo pia ifanye ukaguzi wa leseni za madereva
pamoja na vyeti vyamafunzo kwakuwa shirikisha mamlaka ya mapato nchini TRA ,chuo
cha usafirishaji nchini na VETA ilkuweza
kukaguliwa vyeti vinavyotoka katika vyuo hivyo .
Alisema kuwa
wanao kiuka tararatibu katika upatikanaji wa leseni JESHI la polisi nchini
liwachukulie hatua za kisheria ikiwemo kuwa peleka katika vyombo vyasheria
ikiwemo mahakama kuwachukulia hatua wanao kiuka sheria za usalama barabarani .
‘’
tunaliomba jeshilapolisi liwakamate wanaokiuka sheria za bara barani ikiwemo
kuwafikisha mahakamani ilisheria ichukue mkondo wake ‘’Aliongeza ABDALLAH
Abdallah
aliongeza kuwa piakuwepo nakukaguzi wamagari kwakushirikiana kikosi cha usalama
barabarani chuo chausafirishaji na tamesa pamoja namamlaka usafiri wa nchikavu
namajiniSUMATRA ilikupunguza ajari barabarani
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni