Timothy
Marko.
KATIKA kuhakikisha kuwa Demokrasia inakuwa
kwakiwango kikubwa hapa nchini Shilirika la maendeleo la umoja wa mataifa
(UNDP)limetoa msaada wa kompyuta zenye jumla ya dola lakimbili nanusu (250,00000)ambazo
nisawa shilingi milioni sita kwafedha
yakitanzinia ilkuweza kusaidia uchaguzi unaotajiwa kufanyika mwakani .
Akizungumza jijini leo hii, Muwakilishi mkaazi
Shilika la maendeleo la umoja wa mataifa
Philippe Poinsot amesema kuwa msaada huo umekuja ilikuhakikisha uchaguzi
unaotajia kufanyika mwakani unakuwa huru na wahaki na wenye tija kwa taifa .
‘’Msaada huu wa kompyuta kwa tume ya uchaguzi unao
gharimu shilingi milioni sita ambao nisawa nadola laki mbili nanusu umekuja
ilkuhakikisha demokrasia nchini inakuwa ambapo kiini chake ni uchaguzi huru na
wahaki ‘’Alisema Philippe Poinsot.
Poinsot alisema kuwa msaada huo umelenga katika
kuleta matokeo kwa uharaka pale inapobidi matokeo hayo kuwa na ulazima .
Kwaupande wake Msajili wa vyama vyasisa Jaji
Franciss Mtungi amesema kuwa kutokana na kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi
mwaka 1992 umoja wa mataifa unafanyajitihada za kuhakikisha ucha guzi unakuwa
huru nawahaki .
JAJI Franciss amesema kuwa tekenolojia ya
mawasiliano inayo mchango mkubwa katika kuimarisha demokrasia ikiwemo matumizi
ya vifaa hivyo katika uchaguzi .
Alisema kuwa msaada huo utawezesha ofisi ya
msajili wa vyama vyasiasa kuweza kukusanya takwimu kutoka kwenye vyama
mbalimbali vya siasa ikiwemo kufanya uhakiki wa vyama vyasiasa .
‘’kiukweli dunia yaleo unapokokuwa namasiliano
hafifu una pokea matokeo hafifu ‘’Alisema jaji mtungi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni