Timothy Marko.
KATIKA
kuhakikisha Sekta ya mawasiliano inakuwa
Wizara ya mawasiliano sayansi na teknolojia nchini imefanikisha ujenzi wa mkongo wa taifa wa mawasiliano ambao
ulighalimu dola za kimarekani milioni sabini sawa na shilingi bilioni 17 kwa
fedha za kitanzania .
Akizungumza
na waandishi wa habari jijini Afisa
habari wa wizara ya mawasiliano sayansi natenknolojia Prisca Ulomi amesema kuwa
mkogo huo ambao unazaidi yakilometa 7,560 utawawezesha watoa huduma za
mawasiliano wandani kutoa huduma ya mawasiliano kwa gharama nafuu .
‘’Mpango huu
waujenzi wa mkongo wataifa ambao umegharimu Dola za kimarekani milioni sabini
sawa na shilingi bilioni 17 umewawezesha wa toaji wahuduma yamawasiliano kufikisha
huduma za mawasiliano kwa haraka zaidi nauhakika na kwa gharama nafuu hivyo
kuharakisha maendeleo ya taifa kwakuwapatia fursa wananchi kutumia Tehama kwa
gharama nafuu ‘’Alisema Prisca Ulomi.
Prisca Ulomi
alisema hatua zaujenzi wamkongo huo wa taifa unajumuhi sha pande za kaskazini
kusini namagharibi kwa lengo lakuwa na mawasiliano yauhakika katika mikoa yote
ya Tanzania barana kusisitiza kuwa unguja napemba zitanganishwa katika
utekelezaji wa mradi huo katika awamu ya tatu .
Alisema mradi
wa mkoango wataifa nijuhudi za serikali katika kupamba na umasikini ambapo hadi
hivi sasa sekta yatehama inachangia asilimia 10 ya pato lataifa ambapo mikoa
mbalimbali imefikiwa na mradi huo ikijumuisha mikoa ya Dar es salaam,pwani
morogoro,iringa ,makambak o mbeya Dodoma arusha moshi na tanga pamoja na mikoa
ya nyanda za juu na nyanda za kusini .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni