Jumatano, 17 Septemba 2014

TACADIS;MADEREVA MAGARI MAKUBWA WAOWENDAO NCHI ZA JIRANI WAMOKATIKA HATARI KATIKA KUAMBUKIZWA VIRUSI VYA UKIMWI

Timothy Marko
TUME ya kudhibiti ukimwi nchini TACAIDS kwa kushirikiana namamlaka zakudhibiti Ukimwi kutoka nchi zote zilizopo kusini mwa jangwa la sahara imeanzisha program ya vituo vya maarifa ikuwapatia elimu wananchi ya ugonjwa huo wakiwemo madereva wa masafa marefu pamoja najamii inayo wazunguka  madereva hao.
Akizungumza jijini na waandishi wa habari mapema hii leo Mratibu wa tume hiyo amesema kuwa progaramu hiyo inawahusisha madereva pamoja nawasafirishaji wa mizigo ambao hutumia muda mwingi wakiwa barabarani nje ya familia zao katika sehemu kubwa yamaishayao huku wengi wao wakiwa nkipato cha ziada hali inayowepelekea madereva hao kuwa katika hatarikubwa kuambukizwa kuambukizwa virusi vyaukimwi hasa katika vituo vya kulaza magari katika kipindi cha mapumziko.
‘’Maeneo mengine hususan mipakani ambapo shughuli za uahamiaji naukaguzi wa masuala yafordha ambapo maroli mengi husubiri kwamuda kadha hali hii imesababisha maingilianoyakingono baina yawasafishaji na wenyeji wa maeneo husika hususan makundi wauza ngono wenyeji au wa hamiaji ilikujipatia kipato hivyo kuingia kwenye hatari ya mambukizi ya VVU ‘’Alisema Mratibu Watume hiyo .
Alisema kuwa TAKWIMU zinaonesha kuwa jumla yasilimia 5.1ya madereva waliopo katikavituo mbalimbali vyakulaza magarihayo asilimia 15hadi 35 huambukizwa virusi vya ukimwi ikiwemo katika vituo vya kongwa ,kahama ,kibaigwa ,kongwa namdaula na bagamoyo uvinza ,Kazuiramimba na Benaco huwa katika hatari kubwa yakuambukizwa virusi vitokana na ukimwi .
Mratibu watumehiyo alisema kuwa katika mapambano ya kudhibiti ukimwi  katika nchi za maziwa makuu ambapojumla vituo 21 kati ya14 vimejengwa kwenye bara bara bara zote kuu  za kimataifa ambapo vituo hivyo vipo katika usimamizi wa Halima shauri husika .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni