Timothy Marko
KATIKA kuhakikisha maisha ya waastafu walikuwa katika taasisi za umma na zile zisizo zaumma yanaimarika mfuko wa pesheni wa PSPF umetenga zaidi yashilingi trioni 2.83 kwa wanachama wake ambao ni waasta afu kwakipindi chamwaka julai 2004 hadi September 2014 .
Akizungumza na waandishi wa habari jijini mapema hii leo, Mkurugenzi wa mfuko wa pensheni wa PSPF Adam Manyigu amesema kuwa zaidi ya wastaafu4,097 wameweza kupatitiwa mkopo wenye thamani ya shilingi bilioni 13 mkopo huo unaendana nakauli mbiu ya shirika hilo ‘’PSPF tulizo kwa wastaafu’’.
‘’Hadi sasa jumla yawastaafu 4,097wameshapatiwa mkopo ambapo zaidi yabilioni 13.0 zimetumika kwaajili ya kuwakopesha waastaafu wa PSPF Kwakipindi cha mwezi juni mwaka huu hadi septembar waka huu ‘’Alisema Adam Manyigu.
Adam Manyigu alisema kuwa sambamba na kuwa sambamba nakutoa mikopo kwa wastaafu hao pia shililika hilo limelenga kuwahudumia wategemezi ambapo hadi hivi sasa zaidi ya wategemezi 53,000 wamenufaika na mfuko huo nakuwa na idadi kubwa ya wategemezi ikililinganishwa na mifuko mingine .
Manyigu alisema kuwa shilika hilo limekuwa likiboresha miradi mbalimbali ambayo imewamewawezesha wastaafu kuingiza kiasi kukubwa cha fedha kutokana na mafao mbalimbali yanayo lipwa hivyo kuwawezesha waastafu hao kujiongezea kipato.
‘’Kwaujumla wastaafu nawategemezi wanaingiza kiasi kikubwa sana cha fedha katika uchumi kutokana na mafao wanayolipwa ambapo mafao haya yanaleta athari chanya katika Nyanja mbalimbali za kiuchumi ‘’alionngeza Manyigu.
Katika hatua nyingine mkurugenzi wa idara ya habari maelezo HASSA MWAMBENE amewapongeza wa wadau washilika hilo la PSPF kwa kushirikiana na waandishi wa habari ilikukuza uelewa kwa wananchi kuhusiana namfuko huo .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni