Timothy Marko.
Rais mstaafu wa awamu yapili wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania ALLY HASSAN MWINYI amewataka waandisi wamajengo nchini kuzingatia maadili ya taaluma yaoikiwemo kuachana na vitendo vya rushwa ilikuweza kukuza sekta ya ubunifu wa wamajengo yenye ubora naunaozingatia viwango ilkuweza kukuza uchumi na kulietea tija taifa .
Akizungumza katika mkutano wa bodi ya waandisi pamoja na wasanifu majengo jijini mapema hii leo ,Rais mstaafu ALLY Hassan mwinyi amewataka wahandisi hao kutambua mchango wao katika kukuza uchumi kwa taifa .
‘’Zamani kulikuwa na msitu mingi sana katika nchi yetu lakini hivi sasa ninakutana na siafu za majumba nimeona matokeo makubwa sana yaliyochangiwa nawabunifu wa majumba pamoja na waandisi ‘’Alisema Rais Mstaafu ALLY Hasan Mwinyi.
RAIS Mstaafu MWINYI amesema kuwa ilikuweza kukuboresha sekta ya uhandisi nchini lilazima waandisi hao kuhamu kuwa sekta yaubunifu wamajengo ndio sekta mama katika kujenga uchumi wowote duniani hivyo sekta hiyo lazima ifuate taratibu za uandisi ilikuliepusha taifa na majanga kama vile kuanguka kwa majengo nakupoteza rasimali watu nanguvu kazi kwa taifa.
Alisemakuwa fani yaubunifu majengo imekuwa naumuhimu mkubwa katika kujenga majengo mbalimbali ikiwemo zahanati ,shule nyumba za makaazi ya watu pamoja naofisi mbalimbali hivyo fani hiyo inakiwa kuwa nawaandisi wenyekuzingatia weledi katika kazi zao.
‘’Natambua muhuimu wa fani hizi kwani ndizo zinazoshughuliki a majengo nasehemu za kuishi kama vile shule nyumba kwa hiyo fani hizi zauandisi nausanifu wa majengo zinazo umuhimu mkubwa katika uchumi wa taifa ‘’.Aliongeza Rais MWNYI .
Rais MWINYI aliongeza kuwa sekta yaubunifu wa majengo ndio sekta kubwa iliyona bajeti kubwa katika serikali kuliko sekta zote za hapa nchini .
Aliongeza kuwa ilkuhakikisha majengo yaserikali yana imarika nilazima kutungwesheria itakayowadhibiti wa handisi wanao kikuka tataratibu za uhandisi.
Katika hatua nyingine waziri waujenzi nchini Jonh Pombe Magufuli amesemakuwa ubora wamajengo unatokana na usahirikiano kati ya waandisi nanawabunifu majengo .
Aliongeza kuwa pindi jengo linapoharibika au kuanguka wa bunifu nawaandisi ndio watakao wajibika juu yakuanguka kwa jengo hilo kwani watu hao hufanya kzi kwakutegemeana .
‘’Usanifu majengo una fanywa na WANBUNIFU majengo ,wathaminishaji wamajengo ,na watafiti wa ma jengo wa tu hawa wanategemea na kila moja’’alisema Magufuli.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni