Alhamisi, 28 Agosti 2014

RAIS KIKWETE KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA WAKUU WANCHI ZA KIAFRIKA KUHUSIANA MADILIKO YA TABIA YANCHI AGOSTI 29 MWAKA HUU

Timothy Marko.
KATIKA kuhakikisha changamoto ya mabadiliko yatabia zinatokomezwa hapa nchini na bara la afrika kwa ujumla nchi za bara la afrika ikiwemo Tanzania zimeaswa kudumisha ushirikiano katika kutokomeza janga hilo nilazima uwekewe kipaumbele ilikutatua changamoto hiyo .
Akizungumza jijini nawaandishi wa habari mapema hii leo ,Waziri anayehusiana namazingira wa hapanchini DKBinilith Mahenge amesma kuwa kwakuzingatia bara la afrika ndilo linaloathirika kwakiasi kikubwa mkutano ambao unatarajia kufanyika agosti 29 mwakahuu ambapo mawaziri wan chi mbalimbali wa bara la afrika wamazingira nawamambo ya nje kutoka kamati ya wakuu wanchi za kiafrika (Commetee of head of state and Government on Climate Change –CAHOSCC mkutano huo umelenga kujadili nakutoamapendekezo ya maswala muhimu katika kuwezesha upatikanaji fedha na na tenkolojia ilikuweza kukabiliana nachangamoto hiyo.
‘’Mkutano huu utakaofanyika agosti 29mwaka huu katika ukumbi wa kimataifa wa mwalimu Julius Nyerere utawakutanisha mawaziri wa mazingira na nchi za nje wa afrika ambapo ajenda kuu ya mkutano huu ni kutafuta muongozo wa namna yakukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi ambazo zimekuwa zikiendelea kuliathiri bara la Afrika na Dunia kwa ujumla ‘’Alisema Dk Binilith Mahenge.
Dk Mahenge alisemakuwa katika ripoti iliyotolewa mwaka jana yawatalaam wakimataifa  wa kuhusiana nambadililko yatabia yanchi ilionesha kuwa joto ladunia limeongezeka kwa nyuzi joto 0.85 hali inayotokana nagesi joto ikiwemo hewa yaukaa ambazo hutokana na shuguliza kibinadamu ikiwemo uzalishaji wanishati viwanda na usafirishaji .
Alisema mkutano huo ambaye mwenyekiti wamkutano huo anatarajiwa kuwa Rais wajamuhuri ya muungano wa Tanzania DK Jakaya Kikwete umelenga kufanya maandalizi ya mkutano mwingineulioitishwa na katibu mkuu wa umoja wa mataifa bankmoon tarehe 23 septemba 2014 pamoja naule mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mabaliko ya tabia ya nchi utakao fanyika mjini peru desembamosi hadi12 mwaka huu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni