Jumanne, 1 Julai 2014

USIMAMIZI MDOGO WA WAZAZI WACHANGIA KUSHUSHA KIWANGO CHA ELIMU NCHINI

Timothy Marko.
KUFUATIA kushuka kwakiwango cha elimu hapa nchini taasisi isiyokuwa yakiserikali ya Twaweza imebainikuwa wanafunzi mmoja kati wanafunzi kumi ndio wanaojua kusoma na kuandika ambapo nisawa nasilimia kumi tu yawanafunzi wanao maliza darasa la saba .
Akitoa matokeo hayojijini leo yaliyofanywa nakituo hicho cha utafiti nchini Mkurugenzi wa mawasiliano wa twaweza Risha Chande amesema kuwa wananchi watatu kati yakumi ambao nisawa na asilimia thelathini namoja walitoa majibu yao kutoka kwenye utafiti huo nakubainisha watoto hao walipaswa kujua kusoma kuandika pamoja na kuhesabu.
‘’Matokeo haya yaliyotolewa  na taasisi ya twaweza kwenye mutahasari wa nini kinaendelea kwenye shule zetu muhutasari huu umetokana natakwimu kutokana sauti za wananchi ambap outafiti huu ni wakwaza barani afrika ulifanyika kwa njia yasimu za mikononi ambao ulikuwa na uwakilishi wakitaifa ambapo uliwakilishwa na kaya zote za Tanzania ‘’Alisema Risha Chande.
Chande alisema kuwa katika mhutasari ulichunguza maswala mbalimbali ya husuyo ubora waelimu nchini ikiwemo ufundishaji,ujifunzaji pamoja na ushiriki wazazi kwenye elimu ya watoto wao .
Alisema kuwa  licha kuwepo kwa matarajio yachini kwenye mfumo wa elimu wazazi hutimiza wajibu wa kuhamasisha na kusimamia ujifunzaji ambapo wanafunzi saba kati Yakumi  waliripoti kuwa wazazi wao hukagua madafutari yao.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni