Ijumaa, 11 Julai 2014

BALOZI WA PALESTINA NCHINI ALAANI VITENDO VYA UKIKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU VINAVYOFANYWA NA MAJESHI YA ISRAEL

Timothy Marko.
UBALOZI wa  palestina nchini umelaani Kitetendo cha wanajeshi wa Israel kuuwa raia wapatao mia moja nanne katika vurugu zinazoendelea baina yanchi hizo na kujeruhi baadhi ya  raia wanchi hiyo watu wapatao mia sita kati yamajeruhi hao wavita hivyo ni wanawake nawawatoto hali inayopelekea ukiukwaji wa wa haki za binadamu na maaadhimio ya jumuhia yakimataifa.
Akizungumza na waandishi wahabari jana Balozi wa palestina hapa nchini Nasri Abujaishi amesema kuwa majeshi hayo ya Israel yamekuwa yakifanya vitendo viovu kwa Raia wan chi hiyo waliopo katika makambi yawakimbizi yaliyopo katika miji ya nchi ya wapalestina .
‘’Majeshi haya yamekuwa ya yakifanya mashambulizi yakushitukiza katika makambi yawakimbizi kwa raia wakipalestiana nakuwa uwa raia wapatao mia moja nabadhi yao miasita kuu wawa namamajeshi ya Israeli katika makambi ya wakimbizi yaliyopo katika nchi ya palestina ‘’Alisema Nasri ABUJAISHI.
ABUJAISHI alisema kuwa hivi karibuni majeshi hayo yaisrael ya meweza kusababisha mauwaji yampwa wa Abu Khudair (15)ambaye nimmtoto nakupiga nakuumuwa ambapo tukio hilo lilisababish wan a baadhi ya wanajeshi watatu wan chi ya ISRAEL.
Alisema kuwa majeshi hayo yaisraeli yamekuwa yakifanya vitendo vya uvunjiafu wa amani katika mji wa AL Qarara uliopo kusini mwa ukanda wa gaza .
‘’Majeshi yaisraeli yamekuwa yakifanya mashambulizi ya mauwaji katika ukanda wa gaza nakufanya vitendo vya ukiukwaji wavitendo vyahaki za binadamu majeshi hayo yawauwa  raia wakipalestina wapatao tisini nambili ambapo katiyao 35 niwatoto na 27 niwanawake’’aliongeza Balozi huyo wa palestina .
Aidha balolozi huyo wapalestina Ameitaka jumuhia yakimataifa kuangazia vitendo vyaukikwaji wa haki za binadamu vinavyo fanywa  na majeshi yaisrael nakuvitafutia ufumbuzi kufuatia viendo vya mauaji ya watoto na wanawake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni