Jumatatu, 30 Juni 2014

WADAU WASEKTA YAAFYA NCHINI WAONYWA

Timothy Marko
KATIKA kuhakikisha afya za wakaazi wajiji la Dar es salaam  zinaimarika uongozi wajiji hilo nchini umeweka malengo yakupunguza vifo vya mama na mtoto hadi kufikia asilimia thelathini ambapo wawananchi wamehimimizwa kujiunga na mfuko huo ilikuweza kufikia malengo hayo ya millennia .
Akizungumza jijini leo Kaimu mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Raymond Mushi amesema kuwa mfuko wa bimaya afya unaumuhimu wakipekee katika nakusitiza kuwa lazima wadau mbalimbali wasekta ya aya kuhakikisha wanatumia weledi pindi wawapo katika vituo vya afyailikuhakikisha afya za wakaazi hao zinaimarika .
‘’kuna Uhimu wakujiunga na  bima ya afya kwani jambo la afya linalo umuhimu wakipekee katika kuchangia maendeleo kwahiyo natoa maagizo kwa wadaumbalimbali wasekta yaafya kutumia mifuko yabima ya afya kwataratibu kamazilivyopangwa ikiwemo kuzingatia weledi wakati wanapotoa huduma ‘’Alisema Raymond Mushi.
Mushi alisema kuwa nilazima kwamanispaa zote ziwe namikakati katika kuboresha huduma za afya ilkuweza kuletatija kwawananchi  wanaotumi mfuko wa bima ya afya .
Alisema kuwa kumekuwepo namtindo wa baadhi ya wadau wasekta ya afya hususa madaktari namanesi ambao huwabagua wagonjwa pindi wanapohitaji matibabu kwakisingizio chakutokuwa nafedha kwajili yakulipia matibabu ambapo naibu mkuu wamkoa huo alipinga viendo hivyo .
‘’Kuna tabia ya watoahuduma ya afya huwabagua wagonjwa ambao si wanachama wamfuko wabima ya afya nawale ambao hawanauwezo wakifedha jambo hili halifurahishi hatakidogo nijambo la kukemewa kwa nguvu zote ‘’Aliongeza kaimu mkuu wa mkoa huo.
Alisisitiza kuwa matumizi yakadi yabima yanapunguza hatari yakuibiwa fedha kwani kumekuwa na kasumba ya baadhi yawaakazi wa jiji hilo kutembea na fedha nyingi jambo linalo hatarisha usalama wao.
Kwaupande wake mwanachama wabima ya afya ambaye hakutaka jina lake litajwe katika mtandao huu alisema kumekuwa naabadhi ya changamoto mambali mali za mfuko huo hivyo wadau wa mfuko huo wa najukumu lakluboresha mfuko huo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni