Alhamisi, 15 Mei 2014

SERIKALI YAWEKA MIKAKATI YAKUBORESHA SEKTA YA ELIMU NCHINI

Timothy  Marko
Serikali imesema itaendelea kuweka mikakati mbalimbali ya kuboresha elimu kuanzia ngazi ya awali nakuhakikisha watoto wote wanaotakiwa kupatiwa elimu wanaipata elimu hiyo kuanzia awali .
Akizungumza leo jijini waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi nchini Shukuru kawambwa amesema kuwaserikali itahakikisha mazingira yakusomea yanakuwa rafiki kwa mwanafunzi ilikumuwezesha kufaulu nakusisitiza kuwa moja wapo nikuwapatia vitabu vyakutosha  .
‘’kwakushirikiana nawadau waelimu nchini na wale wa umoja wa mataifa tume amua kulizungumzia swala laelimu ilikuweza kuboresha elimu hapa nchini  ikiwemo kutafuta namna tutakavyoweza  kuinua kiwango chaelimu kuanzia ngazi ya  awali na sekondari’’alisema waziri shukuru kawambwa.
DK shukuru kawambwa alisema walimu wamekuwa wadau muhimu katika kuboresha sekta yaelimu hapa nchini nakusititiza kuwa nilazima walimu wapewe kipaumbele ikiwemo kuboreshea mishara yao ilkukuleta ufaniosi katika elimu .
Alisema walimu wamekuwa niwadau muhimu katika kuleta maendeleo ya sekta yaelimu hapa nchini hivyo wanatakiwa kujengewa mazingira mazuri ilkuweza  kuleta matokeo chanya katika sekta yaelimu hapa nchini.
‘’walimu wamekuwaniwadau muhimu sana hivyoserikali ikishirikana na wadau wengine watawezesha mazingira yaelimu nchini kuwa bora’’alisema shukuru kawambwa .
Akimnukuu  aliyekuwa Rais wa afrika kusini wazirishukuru kwambwa alisema elimu nisilaha yenye nguvu kubwa ulimwenguni  aliongeza kuwa kutokana naripoti iliyozinduliwa leo naunesco itasaidia kuboresha elimu nchini.
Muwakilishi  mkazi washirika la UNESCO nchini Elizabeth kiondo amesema kuwa moja yamalengo yashirika hilo kwamwakahuu  nikuhakikisha elimu bora inapatikana kwanchi washirika.
Alisema katika kipindi cha 2003/4 shirika lake limekuwa mstari wambele katika jinsia nakhakikisha jinsia zote zina patiwa elimu bora bila kubagua .
‘’katika kipindi cha mwaka 2003/2004tulijikita katika kuhakikisha jinsia zote zina pewa elimu ‘’alisema Elizabeth kiondo.
Kiondo alisema katika kipindi cha mwaka 2005 serikali liwahimiza wananchi kuwapeleka shuleni lakini mitikio ulikuwa mdogo.
Muwakilishi walimu nchini Jabir Swai alisema serikali pamoja najamii inahitajika kuwekeza katika elimu ilikuweza kupata elimu bora .
Alisema sekta yaelimu inakabiriwa na changamoto yawalimu pamoja navifaa vyakufundishia .
‘’sekta yaelimu inauhaba wa walimu wamasomo yasayansi haliinayopelekea ufaulu hafifu wamasomo yasayansi’’alisema jabir swai.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni