Timothy Marko.
Shirika la umeme nchini (Tanesco)limepokea msaada shilingi 65.7milioni fedha za Norway kutoka serikali ya Nowray ilikuweza kuboresha miundombinu ya sekta ya umeme katika vituo vya kuzalishia umeme vilivyopo Mtwara,pangani pamoja nakihansi.
Akizungumza leo jijijini katikamkutano wa utiliaji saini wa makubaliano hayo na serikali ya Norway Naibu mkurugezi washirika la kusambaza umeme nchini (TANESCO) Bonface Njombe amesema kuwa lengo lamsaada huo nikuongeza ufanisi naubora wa usambazaji umeme katika mikoa hiyo.
‘’kunabaadhi yavituo vyauzalishaji umeme katika maeneo ya pangani mtwara pamoja nakihansi kunahitajikakufanyiwa marekebisho ikiwemo utengenezaji wamitambo ya kusambazia umeme ilkuweza kuongeza uzalishaji katika vituo hivyo’’alisema Bonface Njombe.
Bonface Njombe alisema kuwa baada yakufanya tathimini katikavituo hivyo walibainikuwepo namapungufu makubwa katika kufanyiwa ukarabati namateng’enezo katika vituo hivyo.
Alisema kuwa kulikuwepo na vituo vingine ambavyo vilihitaji marekebi sho yamda mfupi navinginevyo baadhi yavituo hivyo vilihitaji marekebisho ya mda mrefu.
‘’tulipata ripoti ambayo ilionyesha kuwa kunabaadhi yavituo vinahitaji marekebisho yaharaka na katika eneo lapili tulibaini kuna baadhi ya yavituo vya usambazaji umeme vinahitaji muda mrefu katika kufanya marekebisho.’’aliongeza Naibu mkurugenzi washirika hilo Njombe.
Naibu mkurugenzi washirikahilo alisema baada yashilika hilo kufanya marejeo nakuweza kuwaomba wadau washirikahilo la Nowray ndipo makubaliano hayo yalifikiwa nakampuni hiyo ya NBEambayo makao makuu ya Norway.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni