Jumatano, 2 Aprili 2014

VYOMBO VYA HABARI VYA ONYWA JUU YA KUANDIKA HABARI ZINAZOLETA MIGAWANYIKO NDANI YA NCHI

Timothy  Marko.
Vyombo  habari nchini vimeonywa juu yakuandika habari zenye uchochezi juu ya kundi Fulani ndani  yajamiii ilikuepupusha madhara  katika nchi yatokanayo na itikadi za kidini,kisiasa,nakikabila.
Hayo yamesemwa leo jijini nabalozi wa ruwanda nchini Ben Ruganguzi wakati akizungumza na waandishi  juu ya maadhimisho ya mauaji yakimbari yananyo tarajiwa kufanyika april 7 mwaka huu jijini kwenye ukumbi wa mlimani city.
‘’Mauaji yakimbali yalichangiwa navyombo vyahabari nchini ruwanda ambapo redio moja yaruwanda ilikuwa inahamasisha chuki kwa wa wa kabila la wahutu wawachukie watusi nandipo yalipo anza mauaji ya kimbari yanchini Rwanda ‘’alisema Ben Ruganguzi.
Ben ruganguzi alisema mauaji yakimbari yanajumuhisha kuwa na hulka ya jamii au kundi Fulani lisiwepo kabisa ndani yajamii ili jamii hiyo ambayo iliyopo iweze kunufaika pekeke yake katika nchi aliongeza kuwa halihiyo ndio iliyotokea nchini kwao.
Alisema kuwa lengo la maadhimisho hayo nikuonyesha jamii  na ulimwengu kwaujumla juu ya athari na chanzo chamauaji yakimbari ili tukio hilo lisiweze kutokea tena ulimwenguni.
Aliongeza kuwamaadhimisho hayo a juu ya kumbu kumbu ya mauaji ya kimbari yanchini ruwanda yanatajiwa kufanyika  katika ukumbi wamlimani city ambapo maadhimisho ya watu takibani milioni saba ambao waliuwawa kinyama alisitiza kuwa kutakuwa namaonesho mbalimbali ikiwemo vitabu,majalida nafilamu zinazozungumzia mauaji ya kimbari nchini humo,
‘’kutakuwa na maonesho mbalimbali ambayo yatazungumzia juu ya matukio ya mauwaji yakimbari ikiwemo vitabu majarida na sinema ambazo zitaonesha juu yahistoria ya mauaji yakimbari nchini Rwanda’’alisema Bern Ruganguzi balozi wa ruwanda wa hapa nchini.
Kwaupande wake muwakilishi wa umoja wa mataifa ambaye pia ni msemaji wa umoja wamataifa hapa nchini Stella Vozo amesema kuna umuhimu wa maadhimisho hayo ilikuweza kuzuia matukio ya mauaji ya kimbari yasitokee hapa nchini naduniani kwa ujumla.
Stella vozo alisema mahakama ya kimataifa imekwisha sikiliza kesi zaidi ya sabini 70za mauwaji yakimbali alisisitiza kuwa katika maadhimisho hayo ya natarajiwa kuhudhuriwa na waziri mark mwandosia .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni