Alhamisi, 3 Aprili 2014

MAMLAKA YA MAWASILIANO NCHINI YATOA ANGALIZO KWA MITANDAO YASIMU ZA KIMATAIFA.

Timothy  Marko
Mamlaka  ya mawasiliano nchini (TCRA)imefunga mitambo maluum ambayo ita dhibiti udanganyifu katika mitandao ya simu kwa kutambua namba za ulaghai za nchini  nazile za kimataifa  zinazo kiuka sheria za mawasiliano yasimu .
Akizungumza leo  mkurugenzi wakitengo cha mawasiliano  wa mamlaka hiyo Innocent  Mungi  amesema kwa kutumia mitambohiyo itawezesha kuchunguza udanganyifu kwenye mitandao yasimu  ambapo  yeyote atakayetumia mitandao yasimu kinyume sheria  atachuku liwa hatua .
‘’endapo mtu yeyote au kampuni itabanika kuhusika na udanganyifu hatua zakisheria zitachukuliwa zoezi hili litahusisha  ukaguzi na utambuzi wa mitambo inayohusika naudanganyifu katika mitandao ya simu’’alisema Innocent Mungi.
 mungi alisema hadi sasa takwimu za zoezi hilo kuwa wamesha wakamata baadhi yawatuhumiwa wanaojihusisha navitendo hivyo  nakuwapeleka katika vyombo vyasheria kama ilivyokusudiwa na navyombo vya habari.
Alisema kumekuwa na baadhi yamakampuni na watu binafsi wanaowez esha simu zinazopigwa kutoka nje kufika nchini bila kupitia njia rasmi na hivyo kuikosesha serikali na mapato halisi.
‘’kumekuwa n amakampuni na watu binafsi wanaowezesha simu zinazopigwa kutoka nje kufika hapanchini bilakufikia kwenye njia rasmi nahivyo kuikosesha serikali mapato halisi’’aliongeza  mkurugenzi wa kitengo cha mawasiliano.
Aliongeza kuwa kuwekuwepo nakifaa kinacho tumia laini nyingi za simu ambazo hutumika kufanya udanganyifu kwenye makampuni ya ndani nakuwezesha kifaa hicho kutotambua kuwa simu zionazopigwa kuwa ni za kimataifa.
Mkurugenzi huyo wa mawasiliano aliongeza kuwa mwananchi yoyote anayepigiwa namtu aliyeko nje ajue kuwa simu anayopigiwa inapitia kwenye mitandao isiyo rasmi.
‘’mwananchi yoyote anayepigiwa namtu aliyeko nje yanchi ajue kuwa simu hiyo inapitia kwenye mitandao isiyo rasmi’’alisema Mungi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni