Jumatatu, 31 Machi 2014

MVUA ZINAZO ENDELEA KU NYESHA JIJINI DAR ZASABABISHA MAAFA

Timothy Marko.
Mkazi mmoja jijini  amekufa maji  kufuatia mvua zilizonyesha hivi karibuni  nakusababisha  maafa kwa nyumba nyingi za jijini .
Akitoa taarifa kamanda wa jeshi lapolisi wa kanda maalumu jijini Dar es salaam suilemani kova alisema tukio hilio lilitokea 30march mwaka huu majira ya saatatu nanusu asubuhi .
Aidha kamanda kova alimtaja mtoto huyo  idd Mohamed ( 14) mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari msechule iliyopo jijini nakuongeza kuwa mtoto huyo alikutwa akiwemo kwenye mto msimbazi akiwa amefariki dunia.
‘’maiti yamtoto huyo iliopolewa na askari wa kikosi cha zimamoto cha uokoaji chajiji wakisaidiana na wakaazi wa eneo hilo hata hivyo mwili wake ulikutwa umeshaharibika ‘’alisema kamanda suileman kova .
Kamanda kova alisema enzi za uhai wake mtoto huyo march 29 mwaka huu alishwahi kukumbwa lakuzolewa namaji katika mto huo huo wa msimbazi akanusurika.
Alisema maiti ya mtoto huyo imehifadhiwa ilikuweza kufanyiwa uchunguzi wa kidakitari.
Katika hatua nyingine kamanda kova alisema mnamo 30 march mwaka huu majira ya saa saba nanusu mchana  katika eneo la vingunguti kata ya mnyamani katika wilaya ilala gari lenye namba za usajili T556 BHQ aina ya Toyota costal ikiendeshwa na mpangala (37)mkazi wa vingunguti  buguruni ameweza kusababisha ajari nakusababisha kifo cha mtu moja .
Alisema mwili wamahiti huyo imeifadhiwa katika hospitali ya amana nakuongeza kuwa dereva aliyesababisha kifo hicho ana shikiliwa na polisi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni