Wadaumbalimbali
wasekta yabandari wa mekutana leo kutiliana saini yamakubaliano ya kuboresha
utendaji kazi katika bandari ilikupambana naushindani wa kibiashara ulipo
katika sekta yabandari katika nchi za afrika mashariki .
Akizungumza leo
kwenye mkutano wautiliaji saini jijini,kaimu mkurugenzi wammlaka ya bandari Madini Kipande amesema utiliaji saini wakuboresha
kazi unalenga kuongeza kukuza huduma za bandari kwamuda wamasaa 24 ilikupambana
naushindani wakibiashara katika nchi ya jirani yakenya.
‘’lengo
lakukutana hapa leo nikutiliana saini juu yamakubaliano ya utendaji kazi masaa
24ilkukabiliana naushindani wa bandari jirani kibiashara ‘’alisema madini
kipande .
Kipande alisema
wafanyakazi wataasisi hiyo yabandari wanatak iwa kufanya kazi kwabidii nakwa
weledi ilikupambana na changamoto za kibiashara za bandari katika nchi za
jumuhia ya mashariki.
Katibu mkuu
wa mammlaka yabandari Shabani Mwishaka alisema
lengo lakukutana kwa wadau hao ni
kuboresha sekta ya bandari ilikufia malengo yakusafiriasha taniza ujazo za
mizigo milioni 13 nakuongeza kuwa mbaka
sasa wameweza kufika lengo kwa kufikia tani milioni 13.5
Aliongeza kuwa
serikali ipotayari kushirikiana nawadau hao licha ya changamoto zilizopo kwenye
sekta hiyo ya bandari ikiwemo ukosefu wafedha
katika kuboresha miundo mbinu katika sekta hiyo.
‘’serikali
ipo tayari kufanya kazi pamoja na changamoto zilizopo nikutokuwa nafungu la
fedha katika kuboresha barabara ‘’alisema
shabani Mwishaka.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni