Jumatatu, 10 Februari 2014

WADAU WASEKTA YABANDARI WAKUTANA LEO KUBORESHA SEKTA YA BANDARI NCHINI ILIKUONGEZA USHINDANI KATIKA NCHI ZA AFRIKAMASHARIKI


Wadaumbalimbali wasekta yabandari wa mekutana leo kutiliana saini yamakubaliano ya kuboresha utendaji kazi katika bandari ilikupambana naushindani wa kibiashara ulipo katika sekta yabandari katika nchi za afrika mashariki .

Akizungumza leo kwenye mkutano wautiliaji saini jijini,kaimu mkurugenzi  wammlaka ya bandari Madini  Kipande amesema utiliaji saini wakuboresha kazi unalenga kuongeza kukuza huduma za bandari kwamuda wamasaa 24 ilikupambana naushindani wakibiashara katika nchi ya jirani yakenya.

‘’lengo lakukutana hapa leo nikutiliana saini juu yamakubaliano ya utendaji kazi masaa 24ilkukabiliana naushindani wa bandari jirani kibiashara ‘’alisema madini kipande .
Kipande alisema wafanyakazi wataasisi hiyo yabandari wanatak iwa kufanya kazi kwabidii nakwa weledi ilikupambana na changamoto za kibiashara za bandari katika nchi za jumuhia ya mashariki.

Katibu mkuu wa mammlaka yabandari Shabani  Mwishaka alisema lengo lakukutana  kwa wadau hao ni kuboresha sekta ya bandari ilikufia malengo yakusafiriasha taniza ujazo za mizigo milioni 13 nakuongeza kuwa  mbaka sasa wameweza kufika lengo kwa kufikia tani milioni 13.5

Aliongeza kuwa serikali ipotayari kushirikiana nawadau hao licha ya changamoto zilizopo kwenye sekta hiyo ya bandari ikiwemo ukosefu wafedha  katika kuboresha miundo mbinu katika sekta hiyo.
‘’serikali ipo tayari kufanya kazi pamoja na changamoto zilizopo nikutokuwa nafungu la fedha katika kuboresha barabara ‘’alisema  shabani  Mwishaka.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni