Jumatano, 19 Februari 2014

TCRA YATOA TATHIMINI YA ZOEZI LAUHAMIAJI WA DIGITAL YAJIPANGA KUZIMA MIKOA SINGIDA,NATABORA MWISHONI MARCH MWAKAHUU


Na Timothy Marko
Mamlaka ya mawasiliano nchini (TCRA)imefanya tathimini juu ya uhamiaji wa mfumo wautangazaji wa anaolojia kwenda mfumo wa kidijiti katika miji saba kwakushirikiana nachuo kikuu cha dare s salaam.
Akizungumza na waandishi wahabari leo Mkurugezi wa mawasiliano kutoka kwenye mamlaka hiyo ya mwasiliano professa Jonh Nkoma amesema ,kutokana na zoezi lauzimaji wamitambo ya analojia katika mkoa wa Dar es salaam taasisihiyo imebainikuwa wataalamu waliopo katika chuo cha dar es salaam wanamebobea katika maswala ya tathimini. Nakuwezesha tathiminihiyo kufanyika katika kiwango kinacho ridhisha nakuwezesha kupata taarifa itakayo wezesha zoezi la awamu yapili ya uzimaji wamitambo ya analogia.

‘’napenda kuwashukuru kwa watalaamu wetu waliohusika katika tathimini hii kwa weledi mkubwa kwenyekazi hii muhimu kwa taifa letu kulingana namatokeo yaliyowasilishwa mbele yenu waandhishi wa habari leo hii’’alisema profesa Jonh Nkoma.

Profesa Nkoma alisema Tanzania imekuwa ni nchi ya kwanza kuzima mitambo yaanalojia barani afrika nakutokana namatokeo yake imeweza kuiletea sifa kubwa nchi yetu nakufanya kufikiwa kwamalengo makubwa yaliyofikiwa kimataifa yaliyofanyika kwa weledi mkubwa.

Aidha profesa Nkoma aliongeza kuwa katika awamu yakwanza iliyoanza tarehe31 desemba mwakajana,haikuwa rahisi kama wengi walikuwa wakifikiria kwani zoezi hilo liligusa Nyanja nyingi za kiuchumi ,kijamii ,kisiasa ,kibiashara pamojana kibishara alisisitiza kuwa, ilibidi kuzingatia maoni ya wadau mbalimbali bila kuathiri utoaji habari nchini.

‘’inakadiriwa kuwa mbaka kumalizika kwazoezi hili ,mitambo yakurushia matangazo kwamfumo wa analojia isiyopungua 60 imezimwa hali inayofanya Tanzania kuwa ni nchi ya pekee kwakutoa mafunzo kwanchinyingi hasa za ukanda wa kusini mwa afrika’’aliongeza profesa Jonh Nkoma.
Kuhusiana na uzimaji waawamu yapili yauzimaji wamitambo ya analojia profesa Jonh Nkoma alisema miji 12 itahusishwa katika mpango huo aidha alibanisha kuwa zoezi hilo litahusisha maeneo ambao yamefikiwa na mfumo huo ambapo aliyataja maeneo hayo ni musoma,kigoma, bukoba na kahama.

‘’katika mapendekezo yamamlaka tunakusudia kuanza awamu yapili katika miji yasingida natabora mwishoni mwezi march mwaka huu ambapo miji mingine nipamoja  musoma bukoba morogoro kahama iringa  songea lindi mwisho wa zoezi hili ni mwezi oktoba mwakahuu’’alisema Mkurugenzi wamawasiliano

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni