Na Timothy Marko
Mamlaka ya
mawasiliano nchini (TCRA)imefanya tathimini juu ya uhamiaji wa mfumo wautangazaji
wa anaolojia kwenda mfumo wa kidijiti katika miji saba kwakushirikiana nachuo
kikuu cha dare s salaam.
Akizungumza na
waandishi wahabari leo Mkurugezi wa mawasiliano kutoka kwenye mamlaka hiyo ya
mwasiliano professa Jonh Nkoma amesema ,kutokana na zoezi lauzimaji wamitambo
ya analojia katika mkoa wa Dar es salaam taasisihiyo imebainikuwa wataalamu
waliopo katika chuo cha dar es salaam wanamebobea katika maswala ya tathimini. Nakuwezesha
tathiminihiyo kufanyika katika kiwango kinacho ridhisha nakuwezesha kupata
taarifa itakayo wezesha zoezi la awamu yapili ya uzimaji wamitambo ya analogia.
‘’napenda
kuwashukuru kwa watalaamu wetu waliohusika katika tathimini hii kwa weledi
mkubwa kwenyekazi hii muhimu kwa taifa letu kulingana namatokeo
yaliyowasilishwa mbele yenu waandhishi wa habari leo hii’’alisema profesa Jonh
Nkoma.
Profesa Nkoma
alisema Tanzania imekuwa ni nchi ya kwanza kuzima mitambo yaanalojia barani
afrika nakutokana namatokeo yake imeweza kuiletea sifa kubwa nchi yetu
nakufanya kufikiwa kwamalengo makubwa yaliyofikiwa kimataifa yaliyofanyika kwa
weledi mkubwa.
Aidha profesa
Nkoma aliongeza kuwa katika awamu yakwanza iliyoanza tarehe31 desemba
mwakajana,haikuwa rahisi kama wengi walikuwa wakifikiria kwani zoezi hilo
liligusa Nyanja nyingi za kiuchumi ,kijamii ,kisiasa ,kibiashara pamojana
kibishara alisisitiza kuwa, ilibidi kuzingatia maoni ya wadau mbalimbali bila kuathiri
utoaji habari nchini.
‘’inakadiriwa
kuwa mbaka kumalizika kwazoezi hili ,mitambo yakurushia matangazo kwamfumo wa
analojia isiyopungua 60 imezimwa hali inayofanya Tanzania kuwa ni nchi ya pekee
kwakutoa mafunzo kwanchinyingi hasa za ukanda wa kusini mwa afrika’’aliongeza
profesa Jonh Nkoma.
Kuhusiana na
uzimaji waawamu yapili yauzimaji wamitambo ya analojia profesa Jonh Nkoma
alisema miji 12 itahusishwa katika mpango huo aidha alibanisha kuwa zoezi hilo
litahusisha maeneo ambao yamefikiwa na mfumo huo ambapo aliyataja maeneo hayo
ni musoma,kigoma, bukoba na kahama.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni