Alhamisi, 30 Januari 2014

JAPANI YATOA MSAADA WA DOLA MILIONI 65 KWA TANZANIA KATIKA KUKUZA SEKTA YAVIWANDA NCHINI


Serikali  ya japan imetoa msaada washilingi dola million 65 katika kusaidia sekta yaviwanda nchini  ambapo msaada huo umetokana kuwa na mahusiano mazuri baina ya nchi hizo .

Ambapo japan imesema msadahuo wakukuza ziwanda nchini Tanzania utasaidia kukuza ajiranchini nakuondoa umasikini .
Akizungumza leo katika semina yakukuza sekta yaviwanda iliyo andaliwa nawizara yaviwanda nabiasharanaibu    waziri waviwanda na biashara janeth mbene alisema  sekta ya viwand a nimuhimu kwa uchumi wataifa.

‘’tutaendelea kukuza ushirikiana naserikali ya japan katika kukuza sekta yaviwanda ilikuleta maendeleo nchini ambapo shilika la japani la JICA limejifunza mengi kuhusiana na sekta ya viwanda nchini Tanzania ‘’alisema janet mbene .
Janet mbene alisema  nchi ya Tanzania inamengi yakujifunza katika nchi hiyo yajapan katika kukuza sekta yaviwanda kwani japani imekuwa nchi yamaendeleo kukutokana nakukua  kwa sekta yaviwanda .

Kwa upande wake muwakilishi wataasisi wachuo chakuratibu sera nchini  japani profesa kejjiro otsuka alisema wamekuwa wakifanya miradi mingi katikanchi za bara laasia  kama vile india na ufilipino inayohusiana nasekta yaviwanda nakusaidia uchumi kukua kutokana nakuimarika sekta yaviwanda.
Alisema kuwa katika mashariki yaasia kunaviwanda ambambavy o vimeweza kuimarika kutokana kukuza viwanda vidogo vidogo katika kukuza uchumi.

‘’katika bara la afrika kunaviwanda vidovidogo ambavyo vina weza kukuza uchumi lakini bado hamjavitambua kama viwanda hivyo vinaweza kukuza uchumi’’alisema profesa OTSUKA.
Profesa otusuka alisema ukiweza kukukuza viwanda vidogo vido vidogo nakukaweza kukuza sekta yamawasiliano  nakuweza kuvitangaza vinaweza kuleta mabadiliko makubwa  katika uchumi.
Aliongeza kuwa katika kuboresha sekta yaviwanda nilazima kuzingatia maboresho yaviwanda nakukuza viwanda vidogovigo ili viweze kuchangia pato la taifa.

Muwakilishi wataasisi isiyo yakiserikali inayohusiana na utafiti (REPOA) Dr Donald  Mmari alisema katika mwaka 2012 asilimia 75 wamekuwa wakiajiriwa katika sekta yakilimo na baadhi yaviwanda vyakubadilishia bidhaa initokananayo namazao yakilimo  yamekuwa yakichangia uchumi wataifa.

Aliongeza kuwa huku vipaumbele katika kuboresha sekta hiyo vimeweza kuchangia katika maeneo matatu rasilimali hifadhi ya jamii kodi na mabadiliko yakiserikali .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni