Serikali ya japan imetoa msaada washilingi dola million
65 katika kusaidia sekta yaviwanda nchini ambapo msaada huo umetokana kuwa na mahusiano
mazuri baina ya nchi hizo .
Ambapo japan
imesema msadahuo wakukuza ziwanda nchini Tanzania utasaidia kukuza ajiranchini
nakuondoa umasikini .
Akizungumza leo
katika semina yakukuza sekta yaviwanda iliyo andaliwa nawizara yaviwanda
nabiasharanaibu waziri waviwanda na biashara janeth mbene
alisema sekta ya viwand a nimuhimu kwa
uchumi wataifa.
‘’tutaendelea
kukuza ushirikiana naserikali ya japan katika kukuza sekta yaviwanda ilikuleta
maendeleo nchini ambapo shilika la japani la JICA limejifunza mengi kuhusiana
na sekta ya viwanda nchini Tanzania ‘’alisema janet mbene .
Janet mbene
alisema nchi ya Tanzania inamengi
yakujifunza katika nchi hiyo yajapan katika kukuza sekta yaviwanda kwani japani
imekuwa nchi yamaendeleo kukutokana nakukua
kwa sekta yaviwanda .
Kwa upande
wake muwakilishi wataasisi wachuo chakuratibu sera nchini japani profesa kejjiro otsuka alisema
wamekuwa wakifanya miradi mingi katikanchi za bara laasia kama vile india na ufilipino inayohusiana
nasekta yaviwanda nakusaidia uchumi kukua kutokana nakuimarika sekta yaviwanda.
Alisema kuwa
katika mashariki yaasia kunaviwanda ambambavy o vimeweza kuimarika kutokana
kukuza viwanda vidogo vidogo katika kukuza uchumi.
‘’katika
bara la afrika kunaviwanda vidovidogo ambavyo vina weza kukuza uchumi lakini
bado hamjavitambua kama viwanda hivyo vinaweza kukuza uchumi’’alisema profesa
OTSUKA.
Profesa otusuka
alisema ukiweza kukukuza viwanda vidogo vido vidogo nakukaweza kukuza sekta
yamawasiliano nakuweza kuvitangaza
vinaweza kuleta mabadiliko makubwa
katika uchumi.
Aliongeza kuwa
katika kuboresha sekta yaviwanda nilazima kuzingatia maboresho yaviwanda nakukuza
viwanda vidogovigo ili viweze kuchangia pato la taifa.
Muwakilishi wataasisi
isiyo yakiserikali inayohusiana na utafiti (REPOA) Dr Donald Mmari alisema katika mwaka 2012 asilimia 75
wamekuwa wakiajiriwa katika sekta yakilimo na baadhi yaviwanda vyakubadilishia
bidhaa initokananayo namazao yakilimo
yamekuwa yakichangia uchumi wataifa.
Aliongeza kuwa
huku vipaumbele katika kuboresha sekta hiyo vimeweza kuchangia katika maeneo
matatu rasilimali hifadhi ya jamii kodi na mabadiliko yakiserikali .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni