Shirika
lisilo lakiserikali la AMREF limetoa pongezi kwa wananchi pamoja na
wadhamini wote waliojitoa katika
kuchangisha fedha kwajili yakuwasomesha
wakunga na wauguzi katika halfa
iliyofanyika katika ukumbi wa
serena hoteli jijini 11ktobar mwaka huu nakufanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi
milioni 437,354,084.91
Akizungumza
na waandishi wahabari jana mkurugenzi wa AMREF Dr fetus ilako amesema jukumu lakulinda afya ya mama
na mtoto nijukumu la kila mwananchi Ilikuwa wezesha mama na mtoto kuwa na afya
njema hasa katika maswala ya uzazi.
‘’jukumu la
kuokoa maisha ya mama na mtoto ni la kila mmoja kutoka kwa mungu tunashukuru
wadhamini wetu ,wananchi,na marafiki kwa ujumla mliouonesha katika kuchangia
ilikuwawezesha mama zetu kuwa na afya njema katika maswala ya uzazi’’alisema Dr
Fetus llako.
Dr llako alisema
jitihada zakufanikisha mchango huo zisigefanikwa kama bila wadau hao kuchangia
katika kuwawezesha mama na mtoto kuwa na afya njema.
Naibu
mkurugenzi wa benki M Jacqulline woisso alisema ili taifa liwezekukua kijamii nakiuchumi linahitaji watu wenye afya
bora ili waeze kuleta maendeleo yakiuchumi kwakushirikina na shirilika lisilo
lakiserikali la AMREFwanatarajia kupunguza vifo vya mama na mtoto.
Jacqulline
woisso aliongeza kuwa jitihada zakupunguza vifo vya mama na mtoto limefanya
swala lauzazi kuwa ni furaha na sio jambo lakuhuzunisha au kusababisha kifo .
‘’kampeni
hii itafikia kilele chake mwaka 2015 ambapo AMREF ina lenga kuwa wezesha
wakunga 3800waliopata elimu ya uuguzi ambapo idadi hii itasaidia kupunguza vifo
vya uzazi na kuchangia nmaendeleo ya milenia’’.aliongeza jacqulline woisso.
Woisso
aliongeza kuwa nakuwa taka mashirika mbalimbali kuendelea kuchangia kutuma
michango yao katika akaunti za M-PESA +255752167286 ,TIGOPESA+255716032441 na
kuweza kutuma michango yao hata kwanjia zakibenki kupitia National bank
corporation corporate branch akaunti
namba 011103000458.
‘’AMREF
inapenda kuwashukuru wadhamini muhimu wote kama nyenzo muhimu katika kufikisha
halfa hiyo ilikuwa namafanikio wadhamini hao ni TACAIDS,TOYOTA
Tanzania,ITV,Radio one ,clouds media ,The guardian ,WHO,PPF,CommercialBank of
Africa,MSD, MIKONO BUSSINESS CONSULT,TIGO,
Exstreem solution,BO,TANZANITE ONE,Serengeti Breweries,cocacola Company,na
dstv.’’alisema jacqulline woisso.
MWISHO.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni