Jumatano, 18 Desemba 2013

shirikisho la AMREFE LIMETOA PONGEZI




Shirika lisilo lakiserikali la AMREF limetoa pongezi kwa wananchi pamoja na wadhamini  wote waliojitoa katika kuchangisha fedha kwajili yakuwasomesha  wakunga na wauguzi  katika halfa iliyofanyika katika ukumbi wa  serena  hoteli jijini 11ktobar  mwaka huu  nakufanikiwa kukusanya kiasi  cha shilingi  milioni 437,354,084.91
Akizungumza na waandishi wahabari jana mkurugenzi wa AMREF Dr fetus  ilako amesema jukumu lakulinda afya ya mama na mtoto nijukumu la kila mwananchi Ilikuwa wezesha mama na mtoto kuwa na afya njema hasa katika maswala ya uzazi.
‘’jukumu la kuokoa maisha ya mama na mtoto ni la kila mmoja kutoka kwa mungu tunashukuru wadhamini wetu ,wananchi,na marafiki kwa ujumla mliouonesha katika kuchangia ilikuwawezesha mama zetu kuwa na afya njema katika maswala ya uzazi’’alisema Dr Fetus llako.
Dr llako alisema jitihada zakufanikisha mchango huo zisigefanikwa kama bila wadau hao kuchangia katika kuwawezesha mama na mtoto kuwa na afya njema.
Naibu mkurugenzi wa benki M Jacqulline woisso alisema ili taifa liwezekukua  kijamii nakiuchumi linahitaji watu wenye afya bora ili waeze kuleta maendeleo yakiuchumi kwakushirikina na shirilika lisilo lakiserikali la AMREFwanatarajia kupunguza vifo vya mama na mtoto.
Jacqulline woisso aliongeza kuwa jitihada zakupunguza vifo vya mama na mtoto limefanya swala lauzazi kuwa ni furaha na sio jambo lakuhuzunisha au kusababisha kifo .
‘’kampeni hii itafikia kilele chake mwaka 2015 ambapo AMREF ina lenga kuwa wezesha wakunga 3800waliopata elimu ya uuguzi ambapo idadi hii itasaidia kupunguza vifo vya uzazi na kuchangia nmaendeleo ya milenia’’.aliongeza jacqulline woisso.
Woisso aliongeza kuwa nakuwa taka mashirika mbalimbali kuendelea kuchangia kutuma michango yao katika akaunti za M-PESA +255752167286 ,TIGOPESA+255716032441 na kuweza kutuma michango yao hata kwanjia zakibenki kupitia National bank corporation corporate  branch akaunti namba 011103000458.
‘’AMREF inapenda kuwashukuru wadhamini muhimu wote kama nyenzo muhimu katika kufikisha halfa hiyo ilikuwa namafanikio wadhamini hao ni TACAIDS,TOYOTA Tanzania,ITV,Radio one ,clouds media ,The guardian ,WHO,PPF,CommercialBank of Africa,MSD, MIKONO BUSSINESS  CONSULT,TIGO, Exstreem solution,BO,TANZANITE ONE,Serengeti Breweries,cocacola Company,na dstv.’’alisema jacqulline woisso.
MWISHO.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni