KAMISHINA WA KANDA MAALUM SIMONI S |
JESHI la Polisi kanda Maalum Jijini Dar es salaam leo limewatadharisha wananchi kuwepo kwabaadhi ya wahalifu wanaotumia Majina yaviongozi wangazi zajuu zakiserikali kujipatia kipato .
Tahadhari hiyo imetolewa hii leo jijini Dar es Salaam na Kamishina wakanda Maalum CP Simoni Sirro wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake ambapo amesema kuwa siku za hivi karibuni kumekuwa na malalamiko kwa baadhi ya Raia wakigeni kwawatu wasio waaminifu wakitumia jina la Mkuu wamkoa Paul Makoda nakuwalazimisha watoefedha za kigeni ili kuweza saidia wanafunzi nchini kuweza kupata vyuo nchini ufilipino .
''Tukio hili limetokea Otober Mosi Mwaka huu ambapo Raia wakigeni wa nchini china Marco Li(24)wa kampuni ya Group SIX international Mkazi wamikocheni B alipigiwa simu namtu asiye fahamika kwanamba 0719340914 akijitambulisha yeye nimkuu wamkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akimtaka Raia huyo atoe dola za kimarekani 3500 kwajili yamwanafunzi aliyechaguliwa chuo kikuu cha manila uphilipino ''Alisema Kamishina Sirro
Kamishina Sirro alisema kuwa MKAZI huyo anaishi mikocheni Balikubali ombi lamkuu wamkoa feki nakumtuma msaidizi wake Marco LI ili aende kwa mkuu wamkoa ili kujiridhisha ,hatahivyo hakuweza kuonana naye nabadala yake ,mkuuwamkoa huyo feki alisema kuwayeye yuko BUSY anashughuli nyingi .
Alisema ilipo fika 0ctober 4 mwaka huu Li Alituma kiasi cha shilingi za kitanzania 7,595000 kupitia benki ya commercial benki.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni