Jumatano, 26 Oktoba 2016

MBARAWA AITAKA BODI YA SHIRIKA LA POSTA KUONGEZA MAPATO KUWEZA KUKUZA PATO LA TAIFA.

WAZIRI WA UJENZI UCHUKUZI MAWASILIANO PROFESA MAKAME MBARAWA .
Timothy Marko.
WAZIRI wa ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Professa Makame Mbarawa ameitaka bodi ya wakurugenzi wa shirika la posta nchini kuweza kukuza huduma zao ilkuweza kukuza mapato ya shirika hilo ilikujiletea tija na kuweza kuchangia pato lataifa nakukuza uchumi .

Akizungumza katika kikao cha bodi ya shirika hilo ambayo imeteuliwa na Rais Dk.Jonh Pombe Magufuli jijini Dar es salaam Waziri Makame Mbarawa amesema kuwa endapo shirika hilo litatumia rasmali zake ipasavyo lita weza kuleta tija kwa kampuni nakuongeza mapato katika taifa .

''Wakati umefika kwa Mtendaji mkuu pamoja nabodi yako muweze kutoka nje nakuweza kufikiria zaidi ninamnagani mtaweza kukuza mapato katika shirika hili ilikuletea taifa mapato ya serikali ''Alisema Professa Makame Mbarawa

Professa Mbarawa alisema kuwa nilazima wajumbe washirika hilo kuweza kuwaza juu ya ukuzaji wamapato kupitia shirika hilo kwani shirika hilo limekwa nafusanyingi lakini bado hazijaweza kukutumiwa vizuri .
Alisema kumekuwa na uuzwaji wamali zashirika hilo kwa baadhi ya maofisa wasio waaminifu ikiwemo viwanja ambavyo nimali yashilika hilo na kuwataka watendaji wabodi hiyo kuwadibisha maramoja wanofanya vitendo hivyo vya hujuma .

''hapa kuna watu wanajifanya kuwa niwajanja sana wamekuwa wakitumia mali za shilika kiholela na wamweza kuviuza viwanja ambavyo nimali yashirka ninawaomba muwachukulie hatua mara moja ,nataka mtumie majengo yenu kupata pesa ''Aliongeza Professa Makame Mbarawa.

Makamu mwenyekiti wabodi yashirika laposta Stella Nghambi amesema shirika hilo lipotayari kuzirtafutia majawabu juu yachangamoto ikiwemo upotevu wa mapato ilikuweza kusongambele ilikuweza kukuza uchumi .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni