Ijumaa, 28 Oktoba 2016

CCM YA MRUKIA LOWASA .

Tokeo la picha la ole sendeka

Msemaji wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Chirstopher Ole Sendeka akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya chama cha mapinduzi leo jijini Dar es salaam.

Timothy Marko.
CHAMA cha Mapindunzi nchini (CCM)Kimekanusha vikali juu ya madai ya aliyekuwa Waziri mkuu mstaafu Edward Lowasa kuwa kutokana na kuwepo kwa ushindani katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka jana dhidi yake na nachama hicho ameweza kuonesha namna yademokrasia nakukosoa juu ya utendaji wa Rais Magufuli kuwa haufuati misingi hiyo ya Kidemokrasia .

Akijibu juu ya tuhuma hizo juu yachama hicho kutofuata misingi ya kidemokrasia mapema hii leo jijini Dar es salaam Msemaji wa chama hicho Christopher Ole Sendeka amesema kuwa dhana yademokrasia ambayo Edward Lowasa amabaye pia alikuwa mgombea wa Chadema haina mashiko ambapo chama hicho kilishudia mgombea huyo kutokuwa nauelewa waitikadi yachama chake pindi alipopewa kuipeperusha bendera yachama hicho .

''Tulishudia Lowasa akiwa mgombea wa urais wa chama ambacho hakijui ,wala hakushiriki kukijenga wala kutoa mchango wowote unaompahadhi yakupeperu sha bendera huku katiba na kanuni yachama hicho ikivunjwa '''Alisema Ole Sendeka .

Sendeka amesema kuwa kidemokrasia aliyethibitika kupewa fursa ya kupeperusha bendera ya chama chochote makini dudiani nikiongozi au mwanachama aliyethibitika imani na matendo nakuzielewa nakuzitekeleza falsafa za chama chake .

Alisema Demokrasia yakweli huanza ndani yachama huku akikosoa demokarsia ya umoja wakatiba ya wananchi (UKAWA )imewanyima wanachama wake haki yakuomba ridhaa ya kupeperusha bendera za vyama walivyo viasisi na kuvitetea vikamua kuteua kuteua mgombea ''Mtunguo''.

''Chama hicho kikamuua kumteaua mgombea hajapimwa wala hajawai kukipigania chama chake kitendo hicho chakutowashirikisha wanachama nakuwanyima haki yao ya kikatiba yakuchagua nakuchaguliwa  kimedhihirisha wazi usaliti  wa wazi demokarasia''Aliongeza sendeka .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni