Timothy Marko
MAUZO ya Soko lahisa la Dar es salaam (DSE) yameweza kuongezeka kutoka shilingi bilioni 5.5 hadi kufikia shingi bilioni 9.3 ambapo ongezeko hilo nisawa na asilimia 69 yamauzo ambapo kiwango cha hisa kimeweza kupanda nakuweza kufikia hisa 665,748.
Akizumngumza na waandishi wa habari Mapema hii leo Meneja Mauzo na Biashara Partick Mususa amesema kuwa ongezeko hilo limechangiwa na ongezeko lamtaji la shilingi trioni 21.8kutoka trioni21.2 ambalo nisawa na asilmia 2.5
''Makampuni yanayoongoza katika hisa zake kuweza kununuliwa nipamoja na TPCC (62.87) NMB 18.68 TBL 13.90 Wakati sekta yaviwnanda imeeza kushika 56.30 kutokana naongezeko katika TPCC Baada yakupanda kwa asilimia 13.9''Alisema MUSUSA .
Mususa alisema kuwa wakati huo huo sekta ya huduma zakibenki imeweza kufikia 52.60 ikichangiwa nakushuka kwa kwamauzo katika kaunta ya benki CRDB kwa asilimia4.05 na 5.2 kutoka benki yaNMB ambapo alisisitiza kuwa sektakibishara imeweza kushuka kwa asilimia25.12 kutokana nakushuka kwamauzo katika kaunta ya swispot.
Katika hatua nyingine Meneja huyo alibainisha kuwa jumla wanafunzi 3,160 wameweza kushiriki katikashindano la scholar investment challange wakati chuo cha Saut kikiongoza kwenyemashindano hayo kikiwa nawanaafunzi 72 kikifuatiwa nachuo chamipango cha dodoma kikiwa wanafunzi 63 waliojiunga katika shindano hilo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni