MKURUGENZI WA SOKO LAHISA DSE MOREMI MARWA. |
SOKO la hisa la Dar es salaam (DSE) limebadili muundo wake wa uuzwaji wa hisa zake kutoka uwekezaji wa Kampuni nakwenda kwa mwanahisa anayenunua hisa zake kupitia taasisihiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo jijini Dar es salam Afisa Mtendaji wa soko hilo la hisa Moremi Marwa amesema kuwa mabadiliko hayo yametokana nakikao kilichofanywa nawadau wa soko hilo lamitaji pamoja soko hilo la hisa mwaka jana ambapo wadau mbalimbali walikaa waziri mwenye dhamana ya fedha nakuweza kufikia mazimio yakuongeza sekta binafsi kuweza kushiriki katika kujenga uchumi.
''Mabadilko haya yanailenga sekta binafsi kuweza kushirikishwa pamoja na makapuni kuweza kujenga uchumi ikiwemo kuzalisha ajira ambapo mabadiliko haya yanalenga ufanisi katika kujenga uchumi ''Alisema Afisa Mtendaji Moremi Marwa .
Afisamtendaji Moremi Alisema kuwa ushirikishwaji wasekta yauuma naile yabinafsi kutawezesha kujenga uchumi nakuweza kukuza pato lataifa katika nchi kwani sekta hiyo imekuwa ni injini yauchumi wa taifa .
Alisema lengo lakuweza kukutanisha sekta zotembili katika kujengauchumi ikuweza kushirikiana kuweza kuzalisha ajira ilkuweza kuondokana natatizo la ajira kwavijana .
''ushirikiwashwaji wasektahizi mbili kunalenga kuleta mabadilko yakiuchumi ilkuweza kujenga uchumi nakuzalisha ajira jambo ambalo litawezesha vijana wengi kuweza kupata ajira nakuondokana na umasikini ''Aliongeza Moremi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni