Ijumaa, 6 Mei 2016

TRA:KUPUNGUA KWAMIZIGO BANDARINI KUMETOKANA NA MTIKISIKO WAUCHUMI.

Timothy Marko.
Mamlaka ya mapato nchini (TRA)imesema kuwa suala kupungua kwa kiwango chamizigo katika bandari ya Dar es salam limetokana hali ya mtikisiko wa  uchumi kuwa  kwanchi zinzosafirisha bidhaa zao kupita bandari hiyo .

Akizungumza na waandishi wahabari mapema hii leo jijini Dar es salaam Kamishina wa mamlaka hiyo AlPHAYO KIDATA amesemakuwa hali yauchumi wa wadunia umeshuka kutokana nanchi zilizokuwa zikizalisha shaba kukosa soko katikasoko ladunia nakuweza kupelekea nchi yazambia kupunguza kiwango chamizigo inayoingia bandari ya Dar es salam.
''Hali yauchumi wadunia umeshuka ,zambia uchumi wake umeshuka kutokana kupungua kwathamani yamadini yashaba katika soko la dunia ''Alisema kamishina ALPHAYO KIDATA.

Kamishina KIDATA alisema kuwa mtikisiko huo wauchumi haujaathiri nchi ya Tanzania ,zambia pia umeathiri katika bandari kubwa iikiwemo bandari ya Beira ,singapo.
Alisema katika sheria zakodi nchini haitozi bidhaa za zinzozokwendanje yanchi ikiwemo bidhaa zinazotoka katika nchi ya Kidemokrasia yacongo hali inayochangiwa namasuala mbalimbali yakisiasa nakuachwa kwamaslahi yataifa.

Katika hatua nyingine kamishina huyo wakodi amesema kuwa katika kipindi chamwezi April mwaka huu  taasisi hiyo ilikusanyashilingi trioni 1.035 ikilinganishwa shilingi trioni 1.040.

Alisema katika kipindi hiki tasisi hiyo imejiwekea mikakati ya kuongeza mapato ikiwemo kupambana nabiashara za magendo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni