Timothy Marko.
MTAALAM Wa masuala ya uchumi nchini Profesa Haji Semboja amesema kuwa Hali ya uhaba wasukari nchini imetokana naserikali kuwa wazuia wafanyabisha ra wa bidhaa hiyo kuweza kuuza bidhaa zao katika masoko mengine ya kimataifa .
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Profesa Semboja amesema soko la bidhaa ya sukali linategemea mwenendo wa soko lakimataifa hivyo jambo laserikali kuingilia suala la bei yasukali nchini kunasababisha uhaba wasukali kwani wafanyabishara wabiadhaa hiyo hupanga bei kutokana na bodi yakimataifa inayosimamia sukari na kuweza kutoa bei elekezi kuweza kuwawezesha wafanyabiashara hao kupata faida kutokana bidhaa hiyo.
''Ongezeko la bei ya sukari imetokana hali yakuchumi rai yangu nikuona benki kuu ya Tanzania kuhakikisha mfumuko wa bei unapungua hii inaendana nabei yamafuta ikishuka katika soko la dunia nabei yamafuta ikishuka inasababisha bei ya mafuta nchini inashuka hivyo hivyo ilivyo bei yasukari ''Alisema Profesa Haji Semboja .
Profesa SEMBOJA alisema kuwa uchumi wa Tanzania umeungana nauchumi wa wa afrika hivyo mabadiliko yabei ya bidhaa yasukari huwasambamba na hali ya uchumi kwani bidhaa hiyo nimuhimu kwa binadamu na kuitaka serikali kuachia mamlaka zinazosimamia sukali kuweza kupewa uhuru wa bei yabidhaa hiyo.
Alisema bei yasukari hupanda duniani kote kila mwaka hivyo serikali kuingilia bidhaa hiyo huweza kusababisha madhara yaupatikanaji wabidhaa hiyo kwa wananchi .
''ukisema serikali iweke bei yasukari itathiri upatikanaji wabidhaaa hiyo sokoni nakuweza kusbabisha usumbufu kwa wananchi kwani sualahilo silakudumumu''
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni