MPAKA WA LUSUMO |
Akizungumza na waandishi wahabari mapema hii leo jijini Dar es salaam Katibu mkuu wa wizara yauchukuzi Mhandisi Joseph Nyamhanga amesema kuwa uanzishwaji wavituo hivyo umetokana na agizo la Rais WA jamuhuri yamuungano Dk.JONH Pombe Magufuli alilolitoahivi karibuni katika ziarayake ya ufunguzi wa daraja la rusumo mpakani mwa TANZANIA na RWANDA april 6 mwaka huu .
''Vituo vyakaguzi wapamoja katika ukanda wa Dar es salaam utajumuisha barabara kuu za Dar es salam hadi TUNDUMA ,UYOLE mpakani mwa MALAWI vitakuwa vituo vinne ambavyo nivigwaza mkoani pwani,mikumi mkoani Morogoro ,makampako mkoani njombe pamoja mpemba mkoani songwe ''Alisema Katibu mkuu mhandisi JOSEPH Nyamuhanga .
MHANDISI nyamuhanga alisema kuwa sambamba nauanzishwaji wavituo hivyo vitakuwa namizani ,vituo vyapolisi pamoja navituo vyamamlaka ya mapato Tanzania TRA .
ALISEMA kuwa magari yote yanayotumia ukanda wa dar es salaam kuelekea zambia ,malawi pamoja jamuhuri yacongo nanchi nyinginezo za kusini mwa wa afrika SADC magari yatapima uzito katika vituo vyamizani vya vigwaza mikumi,makambako ,mpemba .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni