Jumanne, 19 Aprili 2016

RAIS MAGUFULI AZINDUA DARAJA LA KIMATAIFA LA MWALIMU NYERERE .

Hili ndilo Daraja la kigamboni jijini Dar es salam.


Timothy Marko.
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dk.JONH POMBE Magufuli amezindua daraja lakigamboni lijulikanalo Daraja la MWALIMU Nyerere lenyeurefu wa mita 680 .
Daraja lamwalimu nyerere limezinduliwa mapema hii leojijini Dar es salam likiwa nimejengwa kwa ushirikiano wa mkandarasi wachina na tanzania huku likigharimu shilingi bilioni 654 .

Akizindua Daraja hilo Rais MAGUFULI amesema kuwa Daraja hilonikichocheo cha uchumi waTanzania ambapo Tanzania itanufaika na kwa watanazia kuondokana natatizo la usafirishaji wabidhaa hivyo daraja hilo ninguzo muhimu kwa uchumi kwakazi wakigamboni na maeneo yanayo lizunguka daraja hilo .

''uzinduzi wadaraja hili nijuhudi zaserikali katika kuondoa kero za wananchi  kwani daraja hili ndio master plan yajiji la Dar es salam katika kujenga mji mpya wakigamboni nakuigeuza kigamboni kuonekana katikasura nyingine ya kimataifa ''Alisema RAIS Magufuli .

Rais Magufuli alisemakuwa hapo awali wakaazi wa eneo la kigamboni wa kipato chachini wamekuwa wakitumia mtumbwi kama njia yausafiri kwenda mjini hali iliyosababisha wengine kuhatarisha maisha yao kutokana na matumizi ya usafiri huo .
Alisema uchache wabaadhi yavivuko katika mkoa wa Dar es salam kumeweza kuchangia vifo mbalimbali ikiwemo katika eneo lakigamboni nakulazimika kutumia mtumbwi kama njia yausafiri .

'' uzinduzi wa daraja hili nimchango wa Rais Jakaya Kikwete ameweza kutenga BAJETI yaujenzi wa daraja hili wakati mimi nilipokuwa waziri wa ujenzi awamu yanne'' Aliongeza RAIS magufuli

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni