Timothy
Marko.
SERIKALI
imesema pindi inapo bidi inahitaji
misaada kutoka nchi marafiki ilikuweza kukua kiuchumi nakuendesha bajeti yake
ilkuweza kufikia malengo yake.
Hayo
yamesemwa mapema hii leojijini Dar es salaam na Mkurugenzi msaidizi wa bajeti
ya wizara ya afya Edward Mbaga katika
kipindi chamdahalo wa taasisi ya policy forum juu
yamtazamo wavipaumbele vya bajeti vya mwaka 2016/17
.
‘’Bajeti
katika kipindi cha mwaka wafedha wa 2016 /17 wizara ya afya imetenga shilingi
9.6 ikililinganishwa nabajeti yakipindi cha mwaka wafedha kinachoiishia mwaka
huu 2014/15 wizara ya afya ilitenga shilingi bilioni 7.8 ‘’Alisema Mkurugenzi
Msaidizi wa bajeti wizara yaafya Edward Mbaga .
Katika
hatua nyingine Mtafiti wa taasisi ya
Haki elimu Godfrey Bonivetura aliitaka serikali kuangalia kwaupya mwenendo wa
bajeti ya elimu nakuweza kutatua changamoto
za elimu ikiwemo uhaba wamadawati .
Godfrey
Bonivetura alisema kuwa sekta yaelimu imwekuwa ikipata kiasi kidogo katika
bajeti yafedha ikilinganishwa na bajeti za sekta zingine hali inayochangia
ubora waelimu kuweza kushuka .
Alisema
kuwa nilazima kuwa bunge linaloanza mwezi huu kuangangali vipaumpele vya katika bajeti ya maendeleo katika kukuza
uchumi ilikuweza kufikia malengo yamilenia ya2025 .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni