Timothy Marko.
WANAFUNZI
wavyuo vikuu nchini wamehamasishwa kushiriki katika shindano la kukuza uelewa
wa soko lahisa ilikuweza kukua kiuchumi .
Shindano
hilo ambalo linaendeshwa na soko hilo la hisa lina endelea mwezi huu wa march
ninalojulikana kama scholar challenge linalenga kuwa kukuza uelewa wa wanafunzi
juu ya utendaji wa wasoko hilo .
Akizungumza
na waandishi wa habari Afisa mkuu wa MAUZO
wa soko la hisa jijini Dar es salaam DSE Mary kinabo amesema shindano
hilo linawahusisha wanafunzi wavyuo wanaotumia simu za android namtandao wa Tehama
.
‘’Jumla ya
wanafunzi wa vyuo 130 wameweza kujiunga na shindano hili lakini usajili
unaendelea ‘’Alisema Mary Kinabo .
Afisa mauzo
KINABO alisema kuwa shindano hilo linaendana nakauli mbiu yakuwawezesha
wanafunzi wa vyuo vikuu kuwekeza kiuchumi .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni