WAZIRI WANISHATI NA MADINI Profesa SOSPETER MUHONGO. |
Timothy Marko.
SERIKALI kupitia
wizara yanishati namadini imesema kuwa jumla trioni 2.17za ujazowa gesi zimegunduliwa katika eneo la Mamba kofi Bonde la Ruvu mkoani pwani .
Akizungumza
mapema hii leo jijini Dar es salaam
Waziri wanishati na madini Profesa Sospeter Muhongo amesema kuwa hadi
kufikiamarch mwaka huu jumla gesi yote iliyogunduliwa nitrioni 10.71
‘’Katika
eneo la baharini kunagesi nyingi sana hadi hivi sasa jumla ya Trioni
47.78imeweza kupatikana wakati huo huo zaidi ya trioni za ujazo 57.2 zimeweza
kugunduliwa kama gesi asilia ‘’Alisema
waziri Sospeter Mhongo.
Waziri
Sospeter Mhongo Alisema kuwa takribani futi zaujazo trioni moja zina uwezo
wakuzalisha jumla ya megawati za umeme zipatazo 5000 wakati huo huo ameongeza
kuwa bado wanaendelea nautafiti wa gesi katika maeneo yakusini mwa Tanzania
kwani kumegundulika kuwa na gesi nyingi .
Alisema kuwa
kabla ya awamu ya tano ya Rais Jonh Pombe Magufuli jumla megawati 700 ndizo
zilikuwa zikitumika katika kuzalisha umeme lakini katika kipindi cha Rais
wawamu yatano jumla megawati 1000 zimeweza kupatikana .
‘’jumla
yaviwanda vipatavyo 37 ikiwepo kiwanda chawazo hili kimekuwa kikitumia gesi
katika kufanya shughuli zake za
uzalishaji wa
umeme ‘’Aliongeza Waziri Mhongo .
kwa upande
wake meneja utafiti wa shirika la maendeleo ya mafuta nagesi (TPDC) Venosa
Ngowi amesema kuwa jumla yaviwanda 37 vinatumia gesi hadi hivi sasa ikiwemo kiwanda cha wazo hill .
Venosa
alisema kuwa wanatarajia kumpatia ripoti ya mapendekezo ya juu ya gharama za
uzawaji wagesi nchini ifikapo mwezi april20 mwaka huu.
‘’zoezi
linalofanyika nimazungumzo ya wawekezaji na watalamu wanchi husika kuweza
kufanya uhakiki wa gharama wa bei za gesi nchini ‘’AlisemaMENEJA utafiti TPDC Venosa ngowi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni