Timothy Marko
MAASKOFU nchini wametakiwa kulipa kodi ya Mapato katika makanisa yao wanayoyasimamia nakuyaongoza ili kukuza pato la taifa .
Wito huo umetolewana Askofu msaidizi wajimbokuu la Dar es salaam Exebius Nzigilwa katika kongamano lililo wakutanisha viongozi wa dini na Mamlaka yamapato TRA juu yaelimu ya mlipa kodi nchini hasa kwenye taasisi za dini.
''leo hii tumekutana na mamlaka yamapato ilkuweza kujadili sheria ya usimamizi wa fedha na sheria yaongezeko lathamani ''alisema ASKOFU NZIGILWA.
Askofu nzigilwa alisema kuwa kuwekuwepo nataasisi nyingi za dini ambazo hazijasajiliwa ambapo taasisi hizo zimekuwa zikipata mwanya wakukwepa kodi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni