Jumanne, 22 Machi 2016

KAMPUNI YA MISHA EAST AFRICA YAPEWA DHAMANA KUUZA TALES NCHINI NAKAMPUNI YA NIRRO YA KUTOKA USWIS .





Mkurugenzi mtendaji wa MISHA Bw.Visent B.Minja akiwaonyesha waandishi wa NMT TV  baadhi ya Tiles katika offisi za Misha zilizopo jijini Dar-es-Salaaam kulia ni bw. Geofray.

 Hizi ni baadhi ya Tails zinazouzwa hapa nchini

 

Timothy Marko



Kampuni ya MISHA EAST AFRICA ni kampuni kubwa iliyopewa dhamana ya kuuza Tiles za kisasa kutoka Malaysia na Spain zenye ubora mkubwa na zisizoshika kutu kutoka kampuni ya NIRRO GIRANITE The Swiss-Quality Tiles.

Akizungumza ofisini kwake na Mwandinshi wa NMT TV Mkurugenzi mtendaji wa MISHA Bw.Visent B.Minja Amesema bidhaa hizo zuzwa kwa bei nafuu  sana  na pia amewataka watu binafsi na Tasisi za Umma kama NHC,NSSF ,PPF na WHC kupitia kampuni Ya MISHA iliyopo mikocnheni jijini Dar-es-Salaam.

“Wateja wengi wanaweza kununua Tiles kwetu na kupewa grentii na ushauri wa matumizi ya Tiles kutoka kwa wataalmu walioko hapa ofisini kwetu pamja kutembelea maeneo ya saiti husika mteja anapojenga,alisema Bw. Minja.

AidhaBw. Minja amewataka watu binafsi  na mashirika yanyoshughulika na ujenzi kushirikiana na kampuni ya MISHA EAST AFRICA kwani ni kampuni inyouza Tiles kwa bei nafuu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni