Jumatano, 30 Machi 2016

JESHI LA POLISI LAMSHIKILIA KWATUHUMA ZA KUTUMIA JINA WAZIRI MKUU KUJIPATIA FEDHA.

Timothy Marko.
JESHI la polisi kanda maalum Dar es salaam limetoa onyokali kufuatia baadhi ya watu kutumia jina la waziri mkuu Kassim Majaliwa kuweza kujipatia fedha isivyo halali .
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Kamishina wakanda maalum Simon Sirro amesema onyo hilo limefuatia mkurugenzi wa kampuni yausangu logistics baada ya kupokea simu kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa ni wazirimkuu kassimu Majaliwa nakutaka 
mkurugenzi huyo kutoa punguzo la asilimia 25 ya kodi 
.
''kampuni hiyo ilitakiwa milioni 25ilikuweza kuboresha miundo mbinu nchini ,watuhumiwa wote mbaka sasa wamekamatwa nakufikishwa mahakamani ''alisema kamishina sirro
Katika hatua nyingine jeshi hilo lina washikilia watu 13 kwatuhuma za kuwa nasare za jeshi la JWTZ huko maeneo yaulongoni B.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni